Msaada wa setup ya Microsoft office 2007 au 2010

Msaada wa setup ya Microsoft office 2007 au 2010

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habari za weekend wakuu,najua mpo salama.Nilikuwa naomba msaada mwenye microsoft office 2007 au 2000 ani attachie hapa jukwaani nina shida nayo na hapa nilipo nimeshindwa kuipata sababu niko mbali na mjini
 
DAAAA MKUU SASA NAKUTUMIAJE BUNDLE NIAMBIE MAANA NINA SHIDA NAYO SANA
1575820886651.png

Fuata hizi hatua mbili, utapata matoleo yote ya MS Office na utachagua mojawapo
- #1. Fungua igetintoapc
- #2. Kwenye search box andika Office
Uzuri wa hiyo site product zote ziko activated au utapewa activator.
 
View attachment 1285701

ASANTE MKUUU ILA INA PROCESS NYINGI MARA ADD TO CHROME NA MAMBO MENGINE MENGI
 
View attachment 1285701
Fuata hizi hatua mbili, utapata matoleo yote ya MS Office na utachagua mojawapo
- #1. Fungua igetintoapc
- #2. Kwenye search box andika Office
Uzuri wa hiyo site product zote ziko activated au utapewa activator.
hII IPO POA LAKINI VIPI KUNA HAJA YA KUSTOP KWANZA ANT virus wakati wa kudownload au setup?>
 
Back
Top Bottom