Msaada wa Screen ya MacBook pro With Retina Display

Terrible Teen

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
1,236
Reaction score
3,544
Salaam sana ndugu zangu na hongereni kwa kuendelea kujenga Taifa. Naomba mwenye uwezo wa kuwa na kioo cha MacBook Pro '13 anitafutie na bei ili nibadili cha kwangu ambacho kilipata crack kwa ndani na hivyo screen kuvia rangi. Mashine yangu ni mpya tatizo ni hilo.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

TT
 
Ungeweka mawasiliana wauzaji wakutafute mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…