hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 9,017 Reaction score 10,048 Nov 4, 2013 #1 wakuu leo nilikuwa mitaa ya mtaa wa congo.. nimekuta samsung tab 2 kibao kwa bei ya mpaka elf 80 naomba kujua hizi simu ni orignal kweli?
wakuu leo nilikuwa mitaa ya mtaa wa congo.. nimekuta samsung tab 2 kibao kwa bei ya mpaka elf 80 naomba kujua hizi simu ni orignal kweli?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Nov 4, 2013 #2 si original na mchina huyo balaa possibly anatumia eclair