Msaada wa Samsung Galaxy Note 3

Msaada wa Samsung Galaxy Note 3

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Naombeni msaada kabla sijauziwa simu chini ya mnara.....kuna hiyo sim apo kwenywe picha ni SAMSUNG GALAXY NOTE 3 SM -N900 Naomba kufahamu nitajuaje kama ni original na sio fake ili niweze rizika kuichukua
 
Attachments

  • 1414749034959.jpg
    1414749034959.jpg
    38.7 KB · Views: 87
Funga apps inayosoma hardware na software ya hiyo simu ukiona chip yake imeandikwa mediatek ujue ni mjomba huyo ( mchina)
 
Daaah bado sijakusoma vizuri naomba ufafanuzi hiyo apps ipo wapi
 
Naombeni msaada kabla sijauziwa simu chini ya mnara.....kuna hiyo sim apo kwenywe picha ni SAMSUNG GALAXY NOTE 3 SM -N900 Naomba kufahamu nitajuaje kama ni original na sio fake ili niweze rizika kuichukua

Mchina huyo, naona 4g hapo.
 
Back
Top Bottom