mkuu ni kitu cha uhakika?
Mbona kuna wengine wananikatisha tamaa wanasema hiyo huduma siku hizi imesitishwa?
Hakuna malipo yoyote yanayo hitajika?
shukran mkuu, jee hiyo pay slip unaweza kuchukulia mkopo?
Duh! Payslip au control sheet! ?
ndugu yangu hilo jambo nina uhakika muhimu uijue cheque number yako, mi mwenyewe nishawahi kwenda kuchukua hakuna shida yeyote na huduma hii ni bureeee
Afya utumishi akuandikie suporting letter
Tahadhari: Ushauri huu ni mzuri ila mleta mada jihadhari na hizi 5 minutes mkuu alizosema, andaa siku zako 2 za kufuatilia hiyo issue hazina ikitokea umeikamilisha ndani ya siku moja ni vizuri zaidi.nenda wizara ya fedha/hazina dsm kitengo cha mishahara ya watumishi ukiwa na cheque number yako pamoja na kitambulisho chako ni kazi ya less than 5 minutes
Tahadhari: Ushauri huu ni mzuri ila mleta mada jihadhari na hizi 5 minutes mkuu alizosema, andaa siku zako 2 za kufuatilia hiyo issue hazina ikitokea umeikamilisha ndani ya siku moja ni vizuri zaidi.
Simtishi ila ni afadhali abajeti kulala siku 2 mjini kuliko siku 1 then asifanikiwe na budget yake ni ya siku 1. Kuna unnecessary delay (uzembe) nyingi ktk ofisi nyingi za serikali. Anyway, Jaribu mkuu pengine ukafanikiwa kwa dakika kadhaa!Mkuu usimtishe akienda asubuhi haifiki saa nne tayari atakuwa na salary zote.