Msaada wa salary scale za bandari

Msaada wa salary scale za bandari

Msaada nahitaji kujua salary scale za degree holder pale bandarini
Teh umesikia hizi nafasi 749 nini walofukuzwa hapo unajiandaa kisaikolojia unaanza tafuta na scales zao kabisa maana TPA hawajaajiri tangia mwaka 2016 zile post za ICT.
 
Back
Top Bottom