...mkuu unatakiwa uongee na immediate supervisor wako m'brainstorm baadhi ya idea zinazoendana na field yenu. Na siku zote title ni kitu cha mwisho kabisa na wala sio cha msingi sana kwenye research yoyote. Cha msingi unachotakiwa kutafuta kwa sasa ni idea ambayo inascientific validity na either imejibiwa zamani sana (so wewe unataka kucheki situation ikoje kwa sasa) au imefanyika eneo tofauti na wewe ulipo (so unataka kuona situation iko vipi kwa eneo la hapa) au ni jambo jipya kabisa halijawahi kutokea.
Lastly usiwe mvivu, google key words za "Mobile money" utapata publication kadhaa zilizofanyika sehemu nyingine, then soma hata abstracts zake mbili tatu utakuwa na wakati mzuri wa kuongea sasa na supervisor wako kuwa nini unaweza kufanya.
Ukishafanya kazi yako vizuri kabisa utaiona "title yako inakuja yenyewe mbele yako"
Best regards,