Msaada wa research topic masters

kajunjumele

JF-Expert Member
Jul 5, 2014
2,467
1,349
Habari zenu wadau mimi ni mwanafunzi wa masters nategemea kufanya dessertation.Hivyo naomba mawazo juu ya topic nzuri ya research.
NB:Wazo lako lijikite katika masuala ya Mobile Money,sababu niko interested eneo hilo. Karibuni.
 
Kuna jamaa wapo na hizo maneno ila mpk uwalipe!

After all muone academic advisor wako
 
Habari zenu wadau mimi ni mwanafunzi wa masters nategemea kufanya dessertation.Hivyo naomba mawazo juu ya topic nzuri ya research.
NB:Wazo lako lijikite katika masuala ya Mobile Money,sababu niko interested eneo hilo. Karibuni.
Mobile money kama zile za mzee wa vijisenti au kama za NMB mobile banking.
maana isije kuwa mbinu ya kuwapa wanaotorosha fedha nje.
 
Habari zenu wadau mimi ni mwanafunzi wa masters nategemea kufanya dessertation.Hivyo naomba mawazo juu ya topic nzuri ya research.
NB:Wazo lako lijikite katika masuala ya Mobile Money,sababu niko interested eneo hilo. Karibuni.
Mkuu ni vizuri zaidi ukasema unachukua mastars gani ile iwe rahisi kukusaidia, mfano katika tasnia ya elimu, sayansi, biashara, sheria, sanaa nk. zipo nyingi tu
 
Nachukua MBA. Finance kaka,..
 
The effects of mobile money services in Tanzania financial institutions

Tumia time series data from 2005-2014

Bonge la topic kudadadeki
 
...mkuu unatakiwa uongee na immediate supervisor wako m'brainstorm baadhi ya idea zinazoendana na field yenu. Na siku zote title ni kitu cha mwisho kabisa na wala sio cha msingi sana kwenye research yoyote. Cha msingi unachotakiwa kutafuta kwa sasa ni idea ambayo inascientific validity na either imejibiwa zamani sana (so wewe unataka kucheki situation ikoje kwa sasa) au imefanyika eneo tofauti na wewe ulipo (so unataka kuona situation iko vipi kwa eneo la hapa) au ni jambo jipya kabisa halijawahi kutokea.

Lastly usiwe mvivu, google key words za "Mobile money" utapata publication kadhaa zilizofanyika sehemu nyingine, then soma hata abstracts zake mbili tatu utakuwa na wakati mzuri wa kuongea sasa na supervisor wako kuwa nini unaweza kufanya.

Ukishafanya kazi yako vizuri kabisa utaiona "title yako inakuja yenyewe mbele yako"

Best regards,
 
Asante, ..ila hii pia ni njia mojawapo mkuu.Nishagoogle ila nataka contribution zaidi.
 
The effects of mobile money services in Tanzania financial institutions

Tumia time series data from 2005-2014

Bonge la topic kudadadeki
Hii idea ni nzuri lakini kuwa makini usirudie research ya Mtu ..take time to search more related topics
 
Mkuu research zote zinazofanywa zinarudiwa hakuna jipya,Kuna Dr mmoja anaitrwa safari anasema watu tayari washa_search ndo maana now inaitwa research.
 
You can use this topic: effects of mobile money for small entrepreneurs in banking system
 
Mkuu research zote zinazofanywa zinarudiwa hakuna jipya,Kuna Dr mmoja anaitrwa safari anasema watu tayari washa_search ndo maana now inaitwa research.

Wakati mwingine sio kweli...! Mimi sijabase kwenye Tittle ,nazungumzia scope ya kazi....

-Research objectives
-Research Questions
-Aim of study...etc

Topics kama hii ni pana, anaweza aka-cover sehemu ambayo mtangulizi wake hakufanya...
 
Sijui tunaelekea wapi na elimu yetu. Can you imagine a Masters Degree student doesn't know what to research about and comes on social media to ask for help?? Masters Degree??
The original thought must be built on the student's self reading...extensive reading then generate ideas on which gaps still exist.
The student must command on what he wants to find about then get guided by the supervisor.
But coming on social media to ask the public for "ideas" will compromise the quality of your degree. Do it yourself and be proud of it upon success. Read, read, read, read, ... Then write.
 
Hii idea ni nzuri lakini kuwa makini usirudie research ya Mtu ..take time to search more related topics
Research kurudia cyo kosa kimsingi isipokuwa uje na modifications au improvement za kilichofanyika awali.
NB. "plagiarism" na "content copying" ni kosa kisheria
 
''Integrating the Use of Mobile Money Services for Improving Livelihoods and General Welfare of Peasants in Rural Areas''

A case of Uvinza District, Kigoma Region, Tanzania.

Jokes aside: Katika level ya Masters degree, nakushauri uchague kitu unachokienda zaidi na sana sana angalia unataka career yako ielekee wapi. Undergradute watu wengi huwa wanapuyanga chochote tu ali mradi degree ipite. Kwa Masters ni tofauti. Chagua topic itakayokururahisha na itakayosaidia jamii pia.

Ninawafahamu watu wawili watatu waliojuta kimyakimya katikati ya safari baada ya kukubari ''kuchaguliwa'' topics na supervisors wao.
 
Research kurudia cyo kosa kimsingi isipokuwa uje na modifications au improvement za kilichofanyika awali.
NB. "plagiarism" na "content copying" ni kosa kisheria

Mkuu hebu rudia research ya mtu uone.!
 
Back
Top Bottom