Ally Msangi
JF-Expert Member
- Jun 29, 2010
- 608
- 120
Wana jamii forums, nahitaji msaada wa research proposal, na hitaji research proposal yoyote ile iliyo base katika masomo ya accounting, naweza sema business administration in general. wadau nahitaji ,msaada wenu.
au kama kuna mwenye idea ya research title katika field hii plz nipati itakuwa msaada pia
What i can advice ni wewe suggest what you think as your idea/title , maana writting a proposal is not only for your academic merit but also for the life after school. They from there we can feed our suggestions
hiyo research unayotaka ni ya masters au first degree? mbona hizo research ziko nyingi kama unataka sample tafuta rafiki walioko kwenye vyuo mfano mzumbe utapata sample nzuri ya kukuwezesha kuandika hiyo proposal yako. au ingia kwenye google utapata kijana. ili ushauri usi copy na pest. lenge utafute mawazo.mana mhhhhhhhhhhhhhhhhhh wabongo hamkawiiii kuchukua kama ilivyo.
idea ninayo its about "EFFECTIVENESS OF COMPUTER APPLICATION ON ACCOUNTING" Tatizo nahofia naweza nisi pate data zakutosha. dats why natafuta idea nyingine nione ntafanya reseach ya ki2 gani.
Mi nadhan kwa level ya 1st degree hauhitaji hizo data unazosema, au unamaanisha unataka data kwa ajili ya kufanyia analysis ya hiyo project yako? Mi nadhan kwa level hiyo hauhitaji, ila unaweza kujenga mawazo katika hiyo title yako kwa kuchukua secondary data na kuangalia/kulinganisha mfumo uliopo sasa (matumizi ya Computer) ukilinganisha na mfumo wa zamani (yaani ni paper based). Hivyo basi title yako unaweza imodify kidogo mfano ikasomeka
"The evolution of computers and their applications in accounting" Hapo unaweza ku highlight changes in relationships between accountants and IT na utaona kuwa kuna mabadiliko makubwa kutokana na technology inavyokua in terms of accounting packages (by intution) na pia unaweza kuongelea challanges za evolution of computers na matumizi katika accounting. Bahati mbaya mimi fani yangu ni Statistics ila nadhan hapo utakuwa umenipata japo kiasi ninachomaanisha maana mambo ya uhasibu ni mageni kwangu.
Pia nikusahauri utembelee Ofisi ya CAG au Hazina au Tume ya Sayansi na Technologia (COSTECH) nadhan utapata references za kutosha na unaweza kuongea na wahusika (Wahasibu) maana ndio walengwa wakuu katika hiyo maada yako hivyo watakuwa wanajua wananufaika vipi na technologia hiyo pamoja na challenges wanazokutana nazo, na pia unaweza kusoma journals/articles ukapata mawazo mapya zaidi. All the best.
Umemsaidia saana kwakweli yaani kama ni kipanga hiyo idea itamtoa kwenye masters na hadi PhD kama akitaka.Mi nadhan kwa level ya 1st degree hauhitaji hizo data unazosema, au unamaanisha unataka data kwa ajili ya kufanyia analysis ya hiyo project yako? Mi nadhan kwa level hiyo hauhitaji, ila unaweza kujenga mawazo katika hiyo title yako kwa kuchukua secondary data na kuangalia/kulinganisha mfumo uliopo sasa (matumizi ya Computer) ukilinganisha na mfumo wa zamani (yaani ni paper based). Hivyo basi title yako unaweza imodify kidogo mfano ikasomeka
"The evolution of computers and their applications in accounting" Hapo unaweza ku highlight changes in relationships between accountants and IT na utaona kuwa kuna mabadiliko makubwa kutokana na technology inavyokua in terms of accounting packages (by intution) na pia unaweza kuongelea challanges za evolution of computers na matumizi katika accounting. Bahati mbaya mimi fani yangu ni Statistics ila nadhan hapo utakuwa umenipata japo kiasi ninachomaanisha maana mambo ya uhasibu ni mageni kwangu.
Pia nikusahauri utembelee Ofisi ya CAG au Hazina au Tume ya Sayansi na Technologia (COSTECH) nadhan utapata references za kutosha na unaweza kuongea na wahusika (Wahasibu) maana ndio walengwa wakuu katika hiyo maada yako hivyo watakuwa wanajua wananufaika vipi na technologia hiyo pamoja na challenges wanazokutana nazo, na pia unaweza kusoma journals/articles ukapata mawazo mapya zaidi. All the best.
Thanks, the pleasure is always mine , my friend always mine !Umemsaidia saana kwakweli yaani kama ni kipanga hiyo idea itamtoa kwenye masters na hadi PhD kama akitaka.
Ur welcome. The pleasure is always mine , my friend always mine !thanx alot bro kwa msaada wako umenipa idea moja nzuri sana i think this will be the one
pamoja kaka, thanx alot once againUr welcome. The pleasure is always mine , my friend always mine !
What i can advice ni wewe suggest what you think as your idea/title , maana writting a proposal is not only for your academic merit but also for the life after school. They from there we can feed our suggestions
Ukipata itakubidi uavoid plagiarism. Sasa ungetwambia unaspecialize katika nini manake yapo mengi, entrepreneurship, Strategic management, marketing management, Human resourse management, Finance management, E-commerce na nyingine manake topics zinatofautiana na uko ktk level ipi B'com(BBA), MBA au DBA?. Lete jibu tukuoneshe topic, na shida nyingine ya kutafutiwa topic ni kuwa ngumu kwako kuandaa backgorund to the problem nzuri pamoja na statement of the problem zaweza kukusumbua!