Msaada wa research proposal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa research proposal

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ally Msangi, Nov 24, 2010.

 1. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #1
  Nov 24, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wana jamii forums, nahitaji msaada wa research proposal, na hitaji research proposal yoyote ile iliyo base katika masomo ya accounting, naweza sema business administration in general. wadau nahitaji ,msaada wenu.

  au kama kuna mwenye idea ya research title katika field hii plz nipati itakuwa msaada pia
   
 2. k

  kowiri New Member

  #2
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What i can advice ni wewe suggest what you think as your idea/title , maana writting a proposal is not only for your academic merit but also for the life after school. They from there we can feed our suggestions
   
 3. K

  KIBE JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hiyo research unayotaka ni ya masters au first degree? mbona hizo research ziko nyingi kama unataka sample tafuta rafiki walioko kwenye vyuo mfano mzumbe utapata sample nzuri ya kukuwezesha kuandika hiyo proposal yako. au ingia kwenye google utapata kijana. ili ushauri usi copy na pest. lenge utafute mawazo.mana mhhhhhhhhhhhhhhhhhh wabongo hamkawiiii kuchukua kama ilivyo.
   
 4. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #4
  Nov 25, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  idea ninayo its about "EFFECTIVENESS OF COMPUTER APPLICATION ON ACCOUNTING" Tatizo nahofia naweza nisi pate data zakutosha. dats why natafuta idea nyingine nione ntafanya reseach ya ki2 gani.
   
 5. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #5
  Nov 25, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ni ya 1st degree, kuhusu marafiki wa mzumbe sina dats why wadau kama wewe unaeza nisaidia kupata. na kuhusu copy and paste kaka mie sio wa hivyo najua nachikifanya, nachihitaji mie ni idea tu na mwongozo wakufuata
   
 6. s

  sirgeorge Member

  #6
  Nov 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nadhan kwa level ya 1st degree hauhitaji hizo data unazosema, au unamaanisha unataka data kwa ajili ya kufanyia analysis ya hiyo project yako? Mi nadhan kwa level hiyo hauhitaji, ila unaweza kujenga mawazo katika hiyo title yako kwa kuchukua secondary data na kuangalia/kulinganisha mfumo uliopo sasa (matumizi ya Computer) ukilinganisha na mfumo wa zamani (yaani ni paper based). Hivyo basi title yako unaweza imodify kidogo mfano ikasomeka
  "The evolution of computers and their applications in accounting" Hapo unaweza ku highlight changes in relationships between accountants and IT na utaona kuwa kuna mabadiliko makubwa kutokana na technology inavyokua in terms of accounting packages (by intution) na pia unaweza kuongelea challanges za evolution of computers na matumizi katika accounting. Bahati mbaya mimi fani yangu ni Statistics ila nadhan hapo utakuwa umenipata japo kiasi ninachomaanisha maana mambo ya uhasibu ni mageni kwangu.
  Pia nikusahauri utembelee Ofisi ya CAG au Hazina au Tume ya Sayansi na Technologia (COSTECH) nadhan utapata references za kutosha na unaweza kuongea na wahusika (Wahasibu) maana ndio walengwa wakuu katika hiyo maada yako hivyo watakuwa wanajua wananufaika vipi na technologia hiyo pamoja na challenges wanazokutana nazo, na pia unaweza kusoma journals/articles ukapata mawazo mapya zaidi. All the best.
   
 7. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #7
  Nov 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  thanx alot bro kwa msaada wako umenipa idea moja nzuri sana i think this will be the one
   
 8. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umemsaidia saana kwakweli yaani kama ni kipanga hiyo idea itamtoa kwenye masters na hadi PhD kama akitaka.
   
 9. s

  sirgeorge Member

  #9
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks, the pleasure is always mine , my friend always mine !
   
 10. s

  sirgeorge Member

  #10
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ur welcome. The pleasure is always mine , my friend always mine !
   
 11. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #11
  Nov 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  pamoja kaka, thanx alot once again
   
 12. N

  Ngo JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Labda kwa vile ni kwa first degree, nilishauliwa na mwalimu wangu kuwa title ya paper inakuwa nzuri pale umeshasoma mawazo ya watu mbalimbali katika hiyo topic unayotaka kuiandikia. Ukifanya Literature review ya kutosha katika reserach area yako ukajuwa mwelekeo wa mawazo yako na waandishi wanasemaje ndo unaweza kutoka na kitu cha kueleweka. Lasivyo unaweza kuishia ku-copy kazi za watu wengine tu bila kuweka nyongeza /mchango wowote katika kazi yako au Unaweza kulazimisha title ya paper iwe unavyotaka lakini bila kuwa na backup ya kutosha na kutoshabihiana na thesis statement yako au kufanya thesis statement iwe weak. Ulikuwa ni msaada mkubwa kwangu japo inahitaji mda kusoma kazi za watu mbalimbali ili uweze kupata mwelekeo na mchango katika paper na itakulahisishia pia kwenye kuchagua papers za kuweka kwenye literature review yako.
   
 13. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #13
  Nov 27, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Yah, thanx thats wat am doing, findind the data 4rm diff sources kupata clear starting point,
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,706
  Trophy Points: 280
  Ukipata itakubidi uavoid plagiarism. Sasa ungetwambia unaspecialize katika nini manake yapo mengi, entrepreneurship, Strategic management, marketing management, Human resourse management, Finance management, E-commerce na nyingine manake topics zinatofautiana na uko ktk level ipi B'com(BBA), MBA au DBA?. Lete jibu tukuoneshe topic, na shida nyingine ya kutafutiwa topic ni kuwa ngumu kwako kuandaa backgorund to the problem nzuri pamoja na statement of the problem zaweza kukusumbua!
   
 15. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #15
  Nov 27, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kaka mie nachukua Bachelor of Business Administration(BBA) na nime specialize in ACCOUNTING,
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  sio vizuri kuomba msaada wa research proposal. Ingekuwa vizuri ungekuwa na proposal ungesema itakuwa na contents gani then wajumbe wanaweza kukupa msaada ni content gani zaidi waweza kuongelea.

  brainstorming Proposal ni part ya formulate Creative thinking na Innovative ideas. kuomba watu wakusaidie sio good sign.

  Kitu kingine watu wanaweza kukupa ideas nzuri kabisa lakini usitoke na proposalan final porject nzuri just bcs initially halikuwa wazo lako
   
 17. Bavuvi

  Bavuvi Member

  #17
  Nov 30, 2010
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Umedanganywa rafiki yangu Reala2M, topic uliyopewa: "The Evolution of Computers ...." ilishawahi kuwandikwa, angalia hii link Google
   
 18. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #18
  Nov 30, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nalifahamu hilo ndugu, na hyo research imefanyika nje ya tanzania so sioni tatizo hapo, after all nimepata title nyingne ambayo ntaifanyia Research,
   
Loading...