Flash disk ni ya aina ipi? Unaweza ipiga picha uweke hapa?
Hata hivyo, fanya hivi:
- Run diskpart kwa kubonyeza WindowsKey+R
View attachment 1151530
- Type list disk
- select disk n (hapa, badilisha n na namba ya flash disk yako iliyo kwenye safu ya Disk ###
- attributes disk
Ukifika hapo, niambie inavyosema tuone kama waweza saidika.