Wadau wa programming.
Nina server-client application ambayo nimetengeneza kwa kutumia Python programming languange.
Aplication ina server side na client side, zote nimetumia stream socket kwa communication kati ya client na server.
Application ina run vizuri kabisa kwenye IDE (Eclipse yenye PyDev plugins).
Nimefika kwenye point ya ku pack up application then niirushe kwenye remote server. Kwa bahati mbaya nimeshindwa kufanya packing process na deployment kwa ujumla.
Nimejaribu kucheki HII LINK lakini kila ninapofuata maelekezo hayo sijafanikiwa ku deploy project hii kwa mafanikio. Napata "Missing Module Errors" kibao.
Kuna module ipo kwenye package moja na server module lakini nazo zina trigger same error.
Nina mwezi mmoja tuu kwenye python language, naomba ushauri kwa wenye experience.
Shukrani.