Msaada wa programming

Msaada wa programming

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,743
Kwa muda sasa nilikuwa najisomea programming mwenyewe hasa java na php, lakini kuna vitu nilikuwa nikijaribu soma nilikuwa naishia kukalili na wala sielewi.
kuna jamaa yangu yeye ni developer akaniambia ningesoma c language itanipa basics za programming, then from there naweza kwenda kwenye c++ na languages nyingine.
toka nimeanza kusoma c language nikisoma php naielewa zaidi kuliko awali.
back to topic nina tatizo kwenye c, pale ninapotumia double, ni run program yangu haitoi majibu ninayo yatarajia, nimejaribu andika code mbambali nikitumia int zinaenda sawa lakini nikitumia double ili niweze deal na namba zenye decimal places pia niki run inaleta 0.00 kama output.
tatizo langu lingine ni juu ya float, float niitumie wapi, na je nikiitumia ninapoandika code
example:
kama niki declare variable kuwa ni
int x, y,z;

mikija kwenye
scanf("%i",&x);

je sehemu ya scanf nitaandika nini penye "i" iwapo nime declare variable kuwa ni float.

Ifuatayo ni code niliyoandika kwa kudeclare variables kuwa ni double ni kirun sipati jibu ninalotarajia but nikizichange kuwa integer jibu linakuwa sawa.
Je nitakuwa ninakosea wapi:

#include <stdio.h>
#include <conio.h>
#include <stdlib.h>
int main()
{
int z;
double y,x;
printf("ENTER 1 to M AND 2 FOR Kms \n");
scanf("%i",&z);
switch (z)
{
case 1:
printf("Number of metres\n");
scanf("%1f",&x);
y=1000.00*x;
printf("Number of metres are %.2f\n",y);
break;
case 2:
printf("Number of kms\n");
scanf("%1f",&y);
x=y/1000.00;
printf("Number of metres are %.2f\n",x);
break;
default:
printf("Error input/n");
break;
}
system("pause");
return 0;

Mkuu Toka nianze kuandika C na C++ codes sijawai tumia double hata siku moja, hua natumia float na inaleta majibu bila shida,

Kwanini usitumie C++ mkuu maana C ina madubwasha yanayo changanya sana, wacha ni re write hii code kwa C++ uone ilivyo simple

Naomba unielekeze iwapo nita declare variables kuwa float, nitakofika kwenye kuandika code ya scaf("%?",&x);
hapo nilipoweka question mark nitaandika nini?
Mkuu Toka nianze kuandika C na C++ codes sijawai tumia double hata siku moja, hua natumia float na inaleta majibu bila shida,

Thanx mkuu nimetumia float and everything inakwenda sawa double tupa kule kuanzia sasa.
Mkuu Toka nianze kuandika C na C++ codes sijawai tumia double hata siku moja, hua natumia float na inaleta majibu bila shida,

Kwanini usitumie C++ mkuu maana C ina madubwasha yanayo changanya sana, wacha ni re write hii code kwa C++ uone ilivyo simple

Thanx mkuu nimetumia float and everything inakwenda sawa double tupa kule kuanzia sasa.
Mkuu angalia hizi CODE za C++ nimejaribu kupangilia vizuri and its much simpler hakuna ma scan("%f",&x) kuchoshana tu na nivirahisi kukosea

#include<iostream.h>
#include<conio.h>
int main()
{
int z;
float y,x;
cout<<"ENTER 1 to Kms AND 2 FOR Ms"<<endl;
cin>>z;
switch (z)
{
case 1:
cout<<"Number of Kms: ";
cin>>x;
y=1000.00*x;
cout<<"Number of Meters are "<<y<<endl;
break;
case 2:
cout<<"Number of Meters: ";
cin>>y;
x=y/1000.00;
cout<<"Number of Kilometers are "<<x<<endl;
break;
default:
cout<<"Error input"<<endl;
break;
}
getch();

thanx mkuu soon ntahamia kwenye c++ maana niko namalizia c. Asante sana mkuu
 
Usijari mkuu C na C++ ni kitu kimoja tatizo ni Syntax tu ila Semantics ni ileile hata library zake ni sawa, Ukikwama usisite kuuliza mkuu tuko pamoja
 
Jamani mi nilianza kujifunza programming tuseme accidentally to it was when I was still in form 3.. Na language ya kwanza kuigundua na kuanza kujifunza ilikua HTML hivohivo kwa bahati nasibu na sikuwa na mtu yoyote yule wa kunisaidia zaid ya kudownload tutorials na kukomaa mwenyewe coz I was eager to understand baadae hvohvo nikajua javascript na nimeifanya hii kwa miaka ming japo kama mnavojua mara shule zetu boarding hamna PC so my progress was sloed down Lakini leo I'm competent kias kwamba I can code simple games and mathematical utilities xa nnaomba ushauri what language should I start with after these HTML javascript & CSS which i see ziko simpo sana af hazntonifikisha nnapopataka? What are best practises when learning programming na vitu kama ivo.?
 
Html sio programming language, mimi lengo langu kubwa ni kumaster java nije kuwa developer wa apps za android na pili ni ku master php.
Mkuu try php.
Jamani mi nilianza kujifunza programming tuseme accidentally to it was when I was still in form 3.. Na language ya kwanza kuigundua na kuanza kujifunza ilikua HTML hivohivo kwa bahati nasibu na sikuwa na mtu yoyote yule wa kunisaidia zaid ya kudownload tutorials na kukomaa mwenyewe coz I was eager to understand baadae hvohvo nikajua javascript na nimeifanya hii kwa miaka ming japo kama mnavojua mara shule zetu boarding hamna PC so my progress was sloed down Lakini leo I'm competent kias kwamba I can code simple games and mathematical utilities xa nnaomba ushauri what language should I start with after these HTML javascript & CSS which i see ziko simpo sana af hazntonifikisha nnapopataka? What are best practises when learning programming na vitu kama ivo.?
 
Jihadhari na kutumia float kama unahitahi majibu sahihi, float ina matatizo na precision. Tumia double. Cheki floating-point-gui.de/

Pia niseme ni idea potofu kuwa inabidi kuanza na C ili uelewe languages zengine, C ni moja ya lugha mbovu kabisa kuanza kujifunza programming kwa sababu ya ugumu was pointers na hiyo input/output unayohangaika nayo. Not to mention sio object oriented.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom