Mkuu wewe si unazijua modem zetu za hapa home tz zimetoka Huawei China.
Nimejaribu AT command kwani hiyo ndiyo basic na minimal command kabisa, sasa nikashangaa inakuwaje zisi support!!!
Nimecheki online source, wanasema modem baadhi hazi support Advanced AT commands na si hizi basic commands.
Nimewahi kujaribu nikiwa nje ya Africa, Modem hizo hizo za wachina, huawei zilikuwa zina respond vizuri tuu to AT commands.
Error inayoonesha ni hii hapa:
Sijajua tatizo ni nini hasa.