G gkalunde Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 108 Reaction score 13 Oct 14, 2011 #1 Wakuu naombeni msaada wa kupata program ya video converter nataka kuconvert nyimbo za video mp4 kwenda DVD au kama kuna mtu ana jua free link yoyote yenye program hizo anitupie hapa jamvini shukrani wakuu.
Wakuu naombeni msaada wa kupata program ya video converter nataka kuconvert nyimbo za video mp4 kwenda DVD au kama kuna mtu ana jua free link yoyote yenye program hizo anitupie hapa jamvini shukrani wakuu.
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,611 Reaction score 21,137 Oct 14, 2011 #2 Videora Converter - Free Video Converter Jaribu hiyo hapo juu. Kama haifai, we google tu. At least mimi niliipata hapo na ninaconvert movies fresh tu kwa kutumia kwenye HTC phone
Videora Converter - Free Video Converter Jaribu hiyo hapo juu. Kama haifai, we google tu. At least mimi niliipata hapo na ninaconvert movies fresh tu kwa kutumia kwenye HTC phone