MR. DRY JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 637 Reaction score 122 May 30, 2014 #1 Wanabodi Nina printer aina ya hp 1018 ambayo nikiprint page ninayotaka huwa inaprint page ambayo mimi sijaprint, huwa inajirudi mara kwa mara.nimeambatanisha aina ya page ambayo huwa inajiprint. Naomba namna ya kustopisha page hii. Ahsante. Attachments 1401440686067.jpg 59.5 KB · Views: 31
Wanabodi Nina printer aina ya hp 1018 ambayo nikiprint page ninayotaka huwa inaprint page ambayo mimi sijaprint, huwa inajirudi mara kwa mara.nimeambatanisha aina ya page ambayo huwa inajiprint. Naomba namna ya kustopisha page hii. Ahsante.