Ndugu wana jf, naomba msaada wa ni power bank ya aina gan natakiwa kununua mana cm yangu ni tecno m5 ambayo capacity ina 1800amh , niaina gan ya p.bank yenye capacity ya ngapi na naichaji kwa muda gani, nsaidien jaman

power bank ziko za capacity tofauti tofauti, kwa kapacity ya betry yako inahitaji power bank yenye capacity kubwa zaidi, mfano 15000 Mah ambayo ukiigawanya kwa 1800 Mah ya betry yako ndo utapata mara ngapi itachaji simu yako.
au tafuta power bank yoyote lakini capacity yake ugawanye kwa capacity ya betry yako
Mbona mwanzo nlikuwa na tecno p3 yenye capacity ya 1400 ma bank power 3000 wah na nlukuwa naicharge inawaka kitaa chekundu hadi kinazima najua imejaa lakin nkija kucharge cm inacharge kabla hata cm haijajaa vizuri inakata et moto umeisha ktl b.power