Msaada WA pc aina ya Dell

Msaada WA pc aina ya Dell

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Laptop haitaki kuwaka taa ya Wi-Fi lengo ni kukonect wireless nisaidieni Nifanyaje.
 
Taa sio ishu, inaweza isiwake na bado ikaconnect
 
Tafuta drivers za Wi-fi hasa driver pack solution
 
Zinapatikana wap Mkuu

Unaidownload sema unatakiwa uwe na bundle si chini ya Gb 14(hii ni driver pack solution), otherwise unaweza kugoogle wi-fi drivers for dell( kuwa makini na model ya pc yako coz dell zipo za aina tofauti) ukiipata unaidownload then una install
 
Ningekusaidia, shida uko mbali sana. Ipeleke kwa mafundi walio jirani
 
Back
Top Bottom