Msaada wa NTFS Na FAT

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,758
Reaction score
6,692
Habari yenu wakuu! Kuna hzi terminology ambazo huw naziona kwenye computer lakini huwa sijui maana yake! Kwa anaejua naombeni kujuzwa! Nawasilisha!
 
NTFS is New technology File system when talk about operating system(OS) of computer start from 3.1 together with windows 9x plus windows vista and 7 hii huwa inakuwa na usalama zaidi kwenye kulinda system yake zaidi ya FAT(File allocation Table)ambazo ni files system za windows kama hapo kwa NTFS lakini usalama/security ya kulinda ipo chini kulinganisha na NTFS huwa kwa maneno mengine tunasema firewall ya windows

Hizi NTFS na FAT zina mambo mengi kwenye OS lakini kwa kifupi unaweza kupata kauelewa kiasi na ndiyo maana kwa sasa ukienda kununua Lampot unaulizwa 32bit or 64bit
 
file systems. google utapat maelezo mazuri ila kifupi ni jinsi os inavyopanga mafaili na makabrasha yake kadri unavyoyatengeneza na kuyasoma na kuyafuta. pia kuna CDFS, na EXTFS3 and 4 kwa *nix
 
NTFS iko na usalama kuliko FAT lakini NTFS sio firewall Kishalu
 
Last edited by a moderator:
The Hizi ni file systems kama walivyosema wengine. Tofauti kubwa utakayoona ni FAT32 haisupport mafile makubwa kuliko 4GB kwenye windows, NTFS Hadi 16TB. Cheki en.m.wikipedia.org/wiki/Comparison_of_file_systems
 
Ahsanten sana kwa kunitoa ujinga! Angalao nimepata kamwanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…