Nokia XpressMusic 3.5g ina 145mb of internal memory. Unaweza kuwa na task nyingi kwani inaweza kuminimize task. Ina uwezo wa kuchukua SD card ya hada 16GB. Ina open office na pdf reader na vikorombwezo vingi. Infact ilitengenezwa kwa majaribio ya xpm na ina features nyingi kuliko xpm zingine. Pia bei yake ni ndogo sana. Mpya inauzwa usd 200.