Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

Inaweza kuwa upo nyuma kiimani kama jamaa alivyosema hapo awali, lakini pia inaweza kuwa umechelewa kimaisha. Huenda unawaona watu uliosoma nao shule ya msingi, sekondari; wao wapo mbele kimaendeleo zaidi yako. Akili imeumbwa kuchakata taarifa za mambo uliyoyaona kwa macho na hatimaye hukupa mrejesho kwa njia ya ndoto!
 
Kuna kitu bado kinakukabiri kipo ndani yako. Hujakimaliza, mpaka ukimalize ndo maisha yako yatakuwa sawa. Check kama uliahidi kuoa, umepiga mimba, nk
 
Pengine kuwa nyuma kiimani ndo inaweza kuwa tatizo maana kiukweli nimekuwa na harakati zinazonipishanisha na mda wa ibaada bahati mbaya sana kwangu hii...
 
Ndoto kama hizi mbona zinatokea watu wengi sana, kuna thread huku JF watu wanatoa experience yao kuhusu ndoto wakiwa shuleni
 
Ndoto kama hizi mbona zinatokea watu wengi sana, kuna thread huku JF watu wanatoa experience yao kuhusu ndoto wakiwa shuleni
Zinaumiza hasa ukisikia habari za kuwa kuna mtu anakurudisha nyuma ndo unazidi kuchanganyikiwa.
 
Zinaumiza hasa ukisikia habari za kuwa kuna mtu anakurudisha nyuma ndo unazidi kuchanganyikiwa.

Kuna huyo naye
 
Nashuka naye hapa naona anaelezea ..kwa undan kidogo
 
Nashuka naye hapa naona anaelezea ..kwa undan kidogo
Kuna huyu tena,

Du. Wachungaji wa siku hizi hawana tofauti na waganga wa kienyeji. Mkristo unaishi kwenye hofu ya ndoto?
 
Hizi ndoto wakati mwingine zinamaanisha ni onyo kwamba unatakiwa kubadirika... kuna mienendo ya maisha unaishi unatakiwa kubadirika... usipo badirika kuna mambo yanaweza kukuta/kukutokea huko mbeleni,
 
Ahsante sana kwa somo hili hakika nalichukua kwa mikono miwili na nitalifanyia kazi nitafute watu wa kufanya kisomo nadhan nitakuwa sawa boss.
Kama imani yako ipo kwenye kisomo basi fanya na uangalie matokeo ikishindikana fanya mengine pia.
 
Hii ndoto huwa naiota tangu nipo chuo... Mpaka leo yapata muongo mmoja napokuwa nakaribia matatzo basi ndoto hii huja......
 
Hizi ndoto wakati mwingine zinamaanisha ni onyo kwamba unatakiwa kubadirika... kuna mienendo ya maisha unaishi unatakiwa kubadirika... usipo badirika kuna mambo yanaweza kukuta/kukutokea huko mbeleni,
Dah unakuta unaishi maisha yasiyo ya anasa lkn bdo unakutana nayo
 
Ndoto ya kawaida tu mkuu usiogope endelea na maisha yako, wanaokwambia sijui umerogwa ni wana imani potofu tu...! Na we ukiiingia kwenye huo mtego itakula kwako, ndoto ya aina hiyo inaotwa na watu wengi sana duniani kote, kwa hiyo watu wote hao wanakua wamerogwa???
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…