Bengoldstar
Member
- Apr 24, 2022
- 67
- 46
- Thread starter
-
- #21
Ahsante sana kwa somo hili hakika nalichukua kwa mikono miwili na nitalifanyia kazi nitafute watu wa kufanya kisomo nadhan nitakuwa sawa boss.Hii ndoto ya kuota upo shule ni maarufu sana ila watu wengi wanaichukulia poa. Unaota upo darasa la saba wakati na wenzako wakati ulimaliza la saba miaka 20 iliyopita. Unaota upo shule unafanya mitihani na una hofu kubwa kwani hujasoma na mtihani ndio huo kesho.
Kwa kifupi tu ndoto hii inaashiria kurudishwa nyuma katika ulimwengu wa roho. Maendeleo yako yamekwamishwa kiroho kwa njia za kichawi. Shukuru kwamba umeota hivyo na haitakuwa mwisho hadi utatue tatizo lililopo katika ulimwengu wa roho.
Mara nyingi ni uchawi wa kumkwamisha mtu, roho ya konokono, roho ya kobe au ya kinyonga. Hizi ni roho za kukufanya usiende mbele kimaendeleo kwa kasi yako. Mara nyingi pia ni mtu anatumia nyota yako kichawi. Kifupi umepigwa stop.
Wengi hupatwa na roho hiyo pia kutokana na kuibiwa nyota kunakotokana na kulala na wanawake wanaotumika kama maagenti wa kuiba nyota za watu kupitia kujamiiana. Ni wengi mno huibiwa kwa njia hii.
Unapaswa kuondoa makwazo hayo katika ulimwengu wa roho. Nakushauri mtafute mtu wa kweli wa Mungu, mwombeaji hodari mwenye nguvu za Mungu wa Kweli akuombee.
Hiyo aya ya mwisho umenichekesha sana asee.Hii ndoto binafsi huwa inanitokea sana na Huwa inaniudhi kwakweli, mm mara nyingi naota matukio ya paper la necta form six nimesoma boarding Pugu, unakuta siku ambayo mnaanza mtihani wa kwanza jumatatu saa 3 asubhi nakuja kuamshwa na sauti za Wana wanaotoka dinning kunywa chai saa 4 maana yake nashtuka mda wa mtihani umeshapita imagine!!
Au siku nyingine naota Niko chumba Cha mtihani msimamizi anakuambia zimebaki dakika 15 mtihani uishe na hakuna swali hata moja nililojibu kwa usahihi maana najikuta nimeanza kujibu maswali ya kujieleza yakanilia muda na kunichanganya ubongo mpaka multiple choices na true & false nashindwa kujibu mara ghafra nashtuka usingizin nikiwa full stressed ukiangalia shuleni nilikuwa msongo balaa hata ufaulu ulikuwa mzur tu japo nilipambana sana.
Ila hii ndoto nimekuja kugundua mara nyingi huwa inawatokea wale watu waliokuwa wasongo sana enzi za shule ( kina John kisomo) na ni ndoto ya kawaida tu .
Mkuu pole sana na ndoto hizi, wale tunaotokewa na ndoto hizi mziki wake tunaujua, maana ni kama unaona kabisa maisha yanaelekea kuwa magumu kwenda chumba cha mtihani haujasoma...Hii ndoto binafsi huwa inanitokea sana na Huwa inaniudhi kwakweli, mm mara nyingi naota matukio ya paper la necta form six nimesoma boarding Pugu, unakuta siku ambayo mnaanza mtihani wa kwanza jumatatu saa 3 asubhi nakuja kuamshwa na sauti za Wana wanaotoka dinning kunywa chai saa 4 maana yake nashtuka mda wa mtihani umeshapita imagine!!
Au siku nyingine naota Niko chumba Cha mtihani msimamizi anakuambia zimebaki dakika 15 mtihani uishe na hakuna swali hata moja nililojibu kwa usahihi maana najikuta nimeanza kujibu maswali ya kujieleza yakanilia muda na kunichanganya ubongo mpaka multiple choices na true & false nashindwa kujibu mara ghafra nashtuka usingizin nikiwa full stressed ukiangalia shuleni nilikuwa msongo balaa hata ufaulu ulikuwa mzur tu japo nilipambana sana.
Ila hii ndoto nimekuja kugundua mara nyingi huwa inawatokea wale watu waliokuwa wasongo sana enzi za shule ( kina John kisomo) na ni ndoto ya kawaida tu .
Hiyo aya ya mwisho umenichekesha sana asee.
Mimi hata usiku wa kuamkia leo nmeota ndoto ya aina hii,nmekuwa naziota sana tu. Ya leo nmeota niko shule ya msingi nadhani,kuna mtihani na maswali yalikuwa yameandikwa ubaoni,picha linaanza kama nimechelewa hivi nahangaika kupata mahala pa kukaa,mwisho nkapata lile dawati la mbele wanapokaaga walim,kwa wale wa ahsante Mkapa mtakuwa mnaelewa. Baada ya kukaa pale mbele nikawa sioni ubaoni ambako ndiko maswali yameandikwanikapanick,nkashtuka usingizini
Karibu sana mkuuNaweka Kambi hapa
Dah hii kitu inatolewa kwa maombi au kuna njia nyingine ya kutatua.Kwa mujibu WA mwakasege ndoto za hivyo ni mbaya Sana,umefungwa na mapepo,omba Sana wachawi wanakurudisha nyuma
Maombi na kufungaDah hii kitu inatolewa kwa maombi au kuna njia nyingine ya kutatua.
Wewe mwenyewe kataa io roho kataa mawazo ya hivo kataa mambo ya vyuo utawezaDah hii kitu inatolewa kwa maombi au kuna njia nyingine ya kutatua.
Dah hii kumbe ni popular sana aise.Ndoto za namna hii zinatusumbua wengi, mara nyingi naota naenda kufanya mtihani alafu sijui chumba nilichopangiwa! Naishia kuzunguka majengo nikiwa full stressed, mpaka muda wa mtihani unaisha!
Hahaha dah sup bhana inauma sana, sema nadhan kuna message sjui Mungu hutuonyesha dah.Niliwahi kuota ndoto hii,kilichofuata badae ni sup.
Basi nizishe maomb tu hamna namna.Maombi na kufunga
Ahsante sana kwa ushauri huu. Hakika niufanyie kazi.Wewe mwenyewe kataa io roho kataa mawazo ya hivo kataa mambo ya vyuo utaweza
Hahaha dah sup bhana inauma sana, sema nadhan kuna message sjui Mungu hutuonyesha dah.