TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 1,907
- 5,432
Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno.
Tafadhali msaada wenu.
Tafadhali msaada wenu.
Tafuta dawa ya mswaki inaitwa whitedent gel..ya blue..then jitahidi uwe unaswaki usiku baada ya kula kabla ya kulala maumivu utokaa uyaone...Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno.
Tafadhali msaada wenu.
Kama linaingilia ratiba zako za Maisha, mfano huwezi kulala, huwezi fanya kazi zako , Basi ni wakati wa Kung'oa jino Hilo.Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno.
Tafadhali msaada wenu.
Tafuta kipande chá tangawiz kioshe vizur, punje 12 za karafuu na punje nne za kitunguu swaum.Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno.
Tafadhali msaada wenu.
Ni dawa ya meno?Tafuta dawa inaitwa vigor doctor
Ahsante mkuuKwanza kabla ya kutafuta dawa unatakiwa kufanya yafuatayo:-
1.Acha/punguza kula vyakula vya sukari.
2.kunguza vyakula vyakukaanga
3.piga mswaki kabla hujalala.
4.wkt wa usiku unapolala jifunike kichwani kwakua maeneo mengi yanabaridi kipindi hiki.
NB:
Kufanya hivi km ni short time disease itaondoka km sikupungua kabisa ila km niya ukoo/generation nenda hospital.
Ahsante mkuu nitafanya hivyoTafuta kipande chá tangawiz kioshe vizur, punje 12 za karafuu na punje nne za kitunguu swaum.
Saga kwa pamoja na uweke kwenye jino linalouma unaweza kuweka usiku mda wakutaka kulala.
Jikaze sana maana inauma haswa ndani ya dakika 10-15 utapa mwasho na maumivu jikaze ndugu.
Utafanya zoezi hilo kwa siku tatu hadi nne.
Inategemea jino la chin au la juu.kama la juu anahatarisha maisha yake maana mishipa ya kichwa imeungana na fizi za juu.atafute acje akakata motoKama linaingilia ratiba zako za Maisha, mfano huwezi kulala, huwezi fanya kazi zako , Basi ni wakati wa Kung'oa jino Hilo.
Unga wa karafuu au mafuta yake.Ahsante mkuu nitafanya hivyo
Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno.
Tafadhali msaada wenu.
Tafuta magome ya mti wa mwembe yatwange kwenye kinu uwe unga kisha chemsha mpaka yachemke afu ipua weka kwenye chupa uwe unapigia nayo mswaki na kusukutulia nayo hakika utapona kabsa.nakupa onyo kama unaumwa jino la juu ucje kuling"oa mana utaatarisha maisha yako kwani mishipa ya fahamu imeungana na fizi za juu ucje ukakata kamba.nna rafk yangu alishakata kamba kwasababu ya kung"oa jino la juu damu zilivuja kupita kiasiWakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno.
Tafadhali msaada wenu.
Eee yakupigia mswaki ni hutasikia tena maumivu ya jinoNi dawa ya meno?