Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba msaada wa namna ya kupta product key za microsoft office 2007 make nimedownload hiyo microsoft office ila kila nikitaka kuinstall kwenye laptop inataka niweke hizo product key ambazo sina na sijui nazipataje
Mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhari,, Natanguliza shukrani zangu kwenu!!
Mwenye uelewa wa hili anisaidie tafadhari,, Natanguliza shukrani zangu kwenu!!