Msaada wa namna ya kupata documents kwenye flash iliyoharibika

nshambya

Member
Jun 3, 2017
8
9
Habari,

Naomba kwa mwenye maarifa/ujuzi wa namna ya kurecover/kupata documents kwenye flash ambayo haisomi tena kwenye computer.

Yaani ni kama imekwisha haribika, ukizingatia documents zilizopo kwenye hiyo flash ni za umuhimu sana.
 
Lete hela nikupe maujanja!
 
Habari,

Naomba kwa mwenye maarifa/ujuzi wa namna ya kurecover/kupata documents kwenye flash ambayo haisomi tena kwenye computer.

Yaani ni kama imekwisha haribika, ukizingatia documents zilizopo kwenye hiyo flash ni za umuhimu sana.
Weka Nyama Kidogo Tupate Hata Jinsi Ya Kukusaidia

Ulivyosema Hivyo Haitoshi

Tuambie Size Yake

Tuambie Aina Ya Data Zilizokuwemo (Picha, Doc Au Video Etc)

Imeharibikaje (Ghafla, Imepasuka, Imeingia Maji Au Etc)

Status Yake Ya Sasa Ukiichomeka Kwrenye USB Port (Inapiga Kelele, Inakuwa Ya Moto Au Inawaka Tu Taa Kama Inayo)

Tuanzie Hapo Mkuu.
 
Size yake ni 6GB, yaan ukiichomeka kwenye USB port haionyeshi chochote na hili tatizo limekuja ghafra, pia documents zilizomo ni kuandika na nyingine zipo kwenye mfumo wa PDf
 
Mkuu Mbona Umenijibu Nusu????

Mimi Nimekuuliza Vitu Vyote Vina Maana Bro, Jibu Vizur Tujue.
 
Habari,

Naomba kwa mwenye maarifa/ujuzi wa namna ya kurecover/kupata documents kwenye flash ambayo haisomi tena kwenye computer.

Yaani ni kama imekwisha haribika, ukizingatia documents zilizopo kwenye hiyo flash ni za umuhimu sana.
Kama unamaanisha ulifuta data nikuambie tu unaweza zipata lakini Kama flash imekufa inamaana haitafanya kazi tena usisumbuke mkuu ndo basi Tena.

Ila Kama flash inasoma na data zimefutika tumia hii njia tulisha solve hapa

Angalia vizuri humu ndani

Back
Top Bottom