Asante mkuu tatzo sijui anapokaa na nimeshamuulizia mpaka nimechoka,Kama huyo jamaa yako wakati anakupa hakutest hiyo password mbele yako.... Ujue fika unaletewa FILAMU hiyo simu itakuwa ya wizi... Kukaa Mzizi wa fitina nenda POLISI jielezee jamaa ataitwa hapo ndo itajulika BASHITE kwao DAR au KOLOMIJE [emoji54]
Taadhali kabla ya matatizo mkuu Dunia imeharibika unaweza ukakuta umewekewa bond simu ya marehemu ooooh na marehemu haijulikani nani amemuaAsante mkuu tatzo sijui anapokaa na nimeshamuulizia mpaka nimechoka,
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app