Dezzy Paul
Member
- Apr 5, 2017
- 17
- 2
M naomba mtu ambae anaweza nsaindia yaani sifa za kujiunga na vitu ka hvyo
Kwa certificate!?kwa level gani mkuu
Diploma ukiwa umefaulu math,geog,phy na chemistry uwe na D tatu katika hayo masomo
Degree inategemea na chuo mfano KIU ukiwa na principal passes mbili katika masomo ya math.economics,geog,physics unachukuliwa pia na UDOM miaka ya nyuma ilikuwa ivo baadhi ya vyuo na kozi ya compouter engineering,software nk hapa wanataka passes za math na physics