Msaada wa namna ya ku edit profile binafsi ya NACTE

mwita burure

Senior Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
192
Reaction score
39
Ndungu wana jf mm niliaply NACTE coz zifuatazo 1 diploma ya Afya 2 diploma ya education 3 IT ufaulu DIV III 24 CIV CIV D ENG C HIST D GEO D KISW C PHYS F CHEM C BIOS C B/MATH C lakini sijapata selection jana nimedit ikakubali leo nilipo fungua profile nimekuta nimekuta vyuo vya Afya na IT vimeandindikwa checking in progress kwa mbele na chin vimeandikwa Remark be patient lakini vya education vimepigiwa mstari na kwa mbele vimeandikwa elible kwa chini weit for next second selection then mwisho wa profile wameandika DO NOTHING lakini mwenzangu yeye profile ikakubali KUEDIT hata sasa tatizo nn
 
Bios D not C
mkuu hapo kwenye afya na IT ni ngummu kupata kutokana hyo F ya physcs bt hapo kwenye ualimu ndo kuna uhakika zaidi lakn kama unapenda hzo kozi za sayansi ni bora utafute chuo upge access kozi ili uusafishe huo mswak
 
eeeeh je mtu ana two halafu form four ana four mbona hajachaguliwa nin tatizo
 
Ndungu wana jf mm niliaply NACTE coz zifuatazo 1 diploma ya Afya 2 diploma ya education 3 IT ufaulu DIV III 24 CIV CIV D ENG C HIST D GEO D KISW C PHYS F CHEM C BIOS C B/MATH C lakini sijapata selection jana nimedit ikakubali leo nilipo fungua profile nimekuta nimekuta vyuo vya Afya na IT vimeandindikwa checking in progress kwa mbele na chin vimeandikwa Remark be patient lakini vya education vimepigiwa mstari na kwa mbele vimeandikwa elible kwa chini weit for next second selection then mwisho wa profile wameandika DO NOTHING lakini mwenzangu yeye profile ikakubali KUEDIT hata sasa tatizo nn
Hayo ni matokeo ya Form four je unafikiri una vigezo vya kusoma diploma kwa hayo matokeo?
 
Back
Top Bottom