Msaada wa mtuha vonversion database

Msaada wa mtuha vonversion database

OSAM

Member
Joined
May 14, 2011
Posts
31
Reaction score
3
Wadau naombeni kama kuna mtu anayo software ya MTUHA anisaidie. Ni Database inayotumiwa na secta ya Afya sana sana.
 
Wadau naombeni kama kuna mtu anayo software ya MTUHA anisaidie. Ni Database inayotumiwa na secta ya Afya sana sana.


Mkuu sidhani kama hiyo ni MTUHA ni Offshelf software kama ilivyo Ms word , Adobe, etc. Hiyo itakuwa Bespoke Sofware au Inhouse developed .

Sasa kupata sowafware kama hii ni kuwasiliana na wahusika wa wizara ya afya au idara husika ya afya.

Otherwise kama ina jina lingine global name linaloulikana zadi ya hilo MTUHA basi litaje maana Ugnda, kenya, rwanda inaweza kuwepo lakini ina jina lingine.
 
waambie lulz waingie wizarani wakupe kopy ya db nzima...:becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom