Amirosa
New Member
- Sep 28, 2021
- 2
- 1
Kwa wale wakubwa nawaamkia shikamoo, na kwa wale wadogo zangu nawasalimia habari?
Mimi ni mwanaume nisiyesikia yaani Mimi ni kiziwi ninaitwa Amirosa. Kwa yule yeyote mwenye uwezo wa kifedha nimekuja humu nikuombe msaada wa hela ya mtaji kwa ajili ya kuwalisha kuku vifaranga 70 kwa kuwa nimeishiwa hela huku nilipo nilikuwa nafanya kazi ya kufuga kuku kwa bosi wangu alikuwa ananipa hela ndogo kila mwisho wa mwezi kwa ajili ya maisha yangu ila bosi wangu ameaga dunia kwa sababu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo hivyo mradi wake wa kuku umefungwa huku ndugu yake ameuza kuku wote hivyo basi nimekosa ajira ila nilikuwa nina hela ya akiba 160,000 niliyopata kwenye mshahara nikaanza kufungua mradi wangu wa kuku kwa kuwa nina uzoefu wa kufuga kuku na ninapenda sana kazi ya kufuga kuku ndo ndoto yangu kuwa mfugaji wa kuku nikatumia hela ya akiba kwa mradi huo hadi hela imeisha. Huku nilipo Nimetafuta mabosi nimewaomba kama kuna vibarua vyovyote wanipe ili nifanye kazi nipate hela kwa ajili ya kuwalisha kuku vifaranga 70 na maisha yangu ila mabosi wakaniambia kuwa hakuna vibarua japo wafanya kazi wao wakaniambia vibarua vipo hivyo nahisi kuwa mabosi ambao nikawaomba kazi hawaniamini kama ninaweza kufanya kazi Kwa sababu Mimi ni kiziwi hivyo basi ninataka kufanya kazi ya kujiajiri kwa kufuga kuku.
Kwa hiyo kwa yule yeyote mwenye uwezo wa kifedha naomba unisaidie hela ya mtaji 400,000/= kwa ajili ya mradi wa kuku. Nitakushukuru iwapo ukiweza kunipatia hela. Na nikifanikiwa kimaisha kupitia mradi wa kuku lazima nitakutafuta ili nikupe hela ya kukurudishia pamoja na hela ya shukrani. Namba yangu ya simu 0626514433 (tuma sms tu)