M mkaa mweusi Member Joined Jan 14, 2011 Posts 69 Reaction score 26 Oct 3, 2013 #1 Naomba kusaidiwa kupata hii software.. Imenipa Moral ya kuitafuta, maana nilienda kuflash simu ya nokia.. Nikamuona jamaa anaitumia hii kitu, nimejaribu kuisearch but sijafanikiwa,.. Yoyote anayeweza kunisaidia anakaribishwa.
Naomba kusaidiwa kupata hii software.. Imenipa Moral ya kuitafuta, maana nilienda kuflash simu ya nokia.. Nikamuona jamaa anaitumia hii kitu, nimejaribu kuisearch but sijafanikiwa,.. Yoyote anayeweza kunisaidia anakaribishwa.