Msaada wa mkopo wa haraka jamani ninashida mwenzenu

thandiwe

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
163
Reaction score
164
Habari

Nina shida sana ya haraka kukopeshwa laki tatu tu kwa mtu atakaeguswa na shida yangu..

Au kama kuna yeyote atakaeweza niunganisha na mtu/watu wanaokopesha kwa riba ndogo sana nitafurahi zaidi, kwani naweza dharirika mwenzenu.

Kwa sasa nipo mbeya mjini.
 
Habari ninashida sana ya haraka kukopeshwa laki tatu tu kwa mtu atakaeguswa na shida yangu.. au kama kuna yeyote atakaeweza niunganisha na mtu/watu wanaokopesha kwa riba ndogo sana nitafurahi zaidi, kwani naweza dharirika mwenzenu. Kwa sasa nipo mbeya mjini.
Njoo hapa Sido tuongee ukikidhi vigezo tuingie mkataba wa mkopo
 
Habari ninashida sana ya haraka kukopeshwa laki tatu tu kwa mtu atakaeguswa na shida yangu.. au kama kuna yeyote atakaeweza niunganisha na mtu/watu wanaokopesha kwa riba ndogo sana nitafurahi zaidi, kwani naweza dharirika mwenzenu. Kwa sasa nipo mbeya mjini.

Inaonekana wewe sio mlipaji, ukose kwa watu wote wanaokujua mpaka uje ukope huku jukwaani!
 
Habari

Nina shida sana ya haraka kukopeshwa laki tatu tu kwa mtu atakaeguswa na shida yangu..

Au kama kuna yeyote atakaeweza niunganisha na mtu/watu wanaokopesha kwa riba ndogo sana nitafurahi zaidi, kwani naweza dharirika mwenzenu.

Kwa sasa nipo mbeya mjini.
Shida gani mkuu mbona huisemi?
 
Inaonekana wewe sio mlipaji, ukose kwa watu wote wanaokujua mpaka uje ukope huku jukwaani!
Hata si wa hivyo kaka.. ndugu au marafiki ukiwaambia habari za kukopa haiwezekani..ni kheri niombe kwa wenye ofice za kukopesha au mtu binafsi niangalie terms zao kama nitakidhi vigezo niwezeshwe maana ni ishu imekuja ghafla tuu
 
Back
Top Bottom