Habarini za muda huu mi ni mjasiriamali nimefanikiwa kufungua duka la dawa tegeta, linafanya kazi kwa sasa limekaguliwa hatua ya kata(wilayani) na fomu ziko tayari kwenda manispaa kwaajili ya kupata kibali ikiwemo na tfd. Tin number ipo inafanya kazi na pia naendelea na kuomba leseni sasa, nina hitaji mtu au sehemu ambayo nitapata mkopo wa sh mil 2.5 au 3 kwa marejesho ya laki 3 hadi 3.5 kwa mwezi anipigie kabisa na riba yake iwepo humohumo. Dhamana tutaandikishana pia duka litadhamini na pia thamani nilizo nazo mie mpk nitakapo maliza kulipa kama kuna atakayehisi kuni save hapa ani pm nitaongea nae
Dhumuni la mkopo ni kumalizia marekebisho madogo pamoja na vibali uhakika wa kulipa upo.
Dhumuni la mkopo ni kumalizia marekebisho madogo pamoja na vibali uhakika wa kulipa upo.