msaada wa mita ya luku

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
jamani tumenunua umeme ila kila tukiingiza token kwa usahihi mita inareject tukajaribu kununua umeme mwingine matokeo yake ikawa hivyohivyo ivi tatizo linaweza kuwa wapi
 
Nenda kwenye office za Tanesco waambie tatizo lako watakusaidia.
 
jamani tumenunua umeme ila kila tukiingiza token kwa usahihi mita inareject tukajaribu kununua umeme mwingine matokeo yake ikawa hivyohivyo ivi tatizo linaweza kuwa wapi

Uniti ziliisha kabisa kwenye mita yako mpaka ikakata yenyewe?
 
jamani tumenunua umeme ila kila tukiingiza token kwa usahihi mita inareject tukajaribu kununua umeme mwingine matokeo yake ikawa hivyohivyo ivi tatizo linaweza kuwa wapi
Labda haijawa activated na tanesco kama mita ni mpya. waone kwa ajili hiyo.
 
ziliisha kabisa ikakata yenyewe

Labda umeshawahi kuingiza vocha hata mara moja?

Kama umewahi basi ingiza vocha yako kama kwaida kisha kandamiza kitufe cha enter mpaka yatokee maandishi ya "close" achia kitufe cha enter bonyeza 1 kisha "ok"
 
ndio sio mita mpya mbona kitufe cha ok kama sikioni hapa au nihichohicho cha enter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…