Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 834 Jun 1, 2017 #1 Mimi ninasimu aina ya tecno w5lite,,tatizo haina nafasi imejaaa,,nimenunua memory card ya 16gb,,nimeweka tatizo inasema no space,, nifanyeje?
Mimi ninasimu aina ya tecno w5lite,,tatizo haina nafasi imejaaa,,nimenunua memory card ya 16gb,,nimeweka tatizo inasema no space,, nifanyeje?
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,726 Jun 1, 2017 #2 Chuck j said: Mimi ninasimu aina ya tecno w5lite,,tatizo haina nafasi imejaaa,,nimenunua memory card ya 16gb,,nimeweka tatizo inasema no space,, nifanyeje? Click to expand... Nenda kwenye File Manager ukafute mafaili kwenye simu, maana kila unapoingia WhatsApp na mitandao mingine mafaili (kama picha, msgstore, voice notes, n.k.) yanajaza nafasi...
Chuck j said: Mimi ninasimu aina ya tecno w5lite,,tatizo haina nafasi imejaaa,,nimenunua memory card ya 16gb,,nimeweka tatizo inasema no space,, nifanyeje? Click to expand... Nenda kwenye File Manager ukafute mafaili kwenye simu, maana kila unapoingia WhatsApp na mitandao mingine mafaili (kama picha, msgstore, voice notes, n.k.) yanajaza nafasi...