msaada wa MBA

ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,766
3,583
Habar za humu wakuu...naomba msaada kati ya MBA in finance,human resource and marketing ni ipi iko pouwa kwenye ajira na pia mshiko.
mhusika ana advance diploma ya marketing miaka ya nyuma....hapa kati akapata ajira serikalin akasomea post graduate ya banking and finance .sasa anataka masters achukue ipi kati ya hizo?
 
wewe pamoja na kusoma kwako bado hujielewi unataka kufanya nini na usomeee nini ww kweli ccm
 
Back
Top Bottom