Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
Halua na pweza? makubwa!!Toiz, nepi na Pipi!
Hizi kwa ajili ya mtoto!
...
Karanga mbichi, Halua na Pweza!
Na hivi vitawasaidia hao wanandoa!!
Mpendwa watoto wanahitaji nguo always kwasababu wanakua kwahio itakuwa vizuri ukinunua nguo ambazo size kidogo kubwa mfano mtoto kama wa miezi 6,unanunua nguo za size ya miezi 8!Toys pia sio bad idea!!Heshima mbele wakuu.
Nina ndg yangu (Mdogo) wangu alioa kitambo sana, na toka aoe sijapata nafasi ya kuonana na shemeji. coz yeye anaishi hapa Dar na mimi ninaishi mkoani. na wana mtoto na mara ya mwisho alinambia mkewe ni mjamzito.
Na kwa sasa nipo hapa mjini ningependa kwenda kuwasabhahi.
Naomba kujua natakiwa kwenda na kitu gani mkononi kama zawadi kwa shemeji na mtoto?
mimi49 Ladyfuraha Mamndenyi Preta na wengine wote na ushauri na mawazo yenu.
Kwanini nisiijue maradhi matupu hayo kha...Hahahahaa!
Waijua halua weye?
Nina ndg yangu (Mdogo) wangu alioa kitambo sana, na toka aoe sijapata nafasi ya kuonana na shemeji. coz yeye anaishi hapa Dar na mimi ninaishi mkoani.
Kwanini nisiijue maradhi matupu hayo kha...
mafuta na sukari sio ugonjwa huo nawe?Khaa!
Halua ya wapi hiyo yenye maradhi?
mafuta na sukari sio ugonjwa huo nawe?
Mkuu kama vile unajichanganya changanya, ebu jisome vizuri
mi huwa nikienda kwa mzazi nampatia pesa....ili anunue anachotaka....unaweza ukanunua kitu....kumbe ndio katoka kukinunua jana........japo vyote vitatumika.....lakini ni bora pesa ili anunue vile vilivyomiss.........chukua card ya kumpongeza.....ndani weka noti........