Habari wana jf.ninaomba mnisaidie mawzao.nina shilingi milioni moja,je nifanye biashara gani kwa mtaji huu mdogo nilionao.mimi ni mkazi wa morogoro mjini maeneo ya mazimbu.