Msaada wa mawazo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo!

Discussion in 'JF Doctor' started by Matope, May 24, 2011.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mpipi wangu ni mkubwa sana kiasi nikimpiga nao mtu huwa hatamani kurudia tena imefikia mahali mademu wananiogopa!juzi weekend nikampata demu ambaye nilijua ntadumu nae coz huwa wanamsemasema hajatulia nikafanya nae alinikimbia geto,alitoka kama anaenda toileti hakurudi tena na simu yangu hapokei,usiku wa leo kanijibu live kuwa hawezi kuwa na mwanamme kama me kwa sbb nilimfanyia operation ya pili!kibaya zaidi ni kwamba nina govi bado na age ni above 28 plz Doctor nisaidie mawazo nifanye nn japo na me nienjoy maraha!!!!!!!!
   
 2. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwanza kabisa nenda hospital ukaondoe hilo govi,then ushauri zaidi utafuatia
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Toa govi jifunze ustaarabu ukiwa kwenye game, fair play kijana. Vijana mnambwembwe nyie.....
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Toa govi.. tafuta mke utatulia naye! ... acha uzinzi!.. mke atastiri siri zako na atavumilia mwisho atakuzoea
   
 5. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  UZINZI ni dhambi! Acha pls.
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Dah hii noma mkuu. Toa hiyo kitu haraka sana.
   
Loading...