B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Oct 7, 2016 #21 niliwai kufikilia niwe mwalimu alafu nisome master ya kitu kingine baadae hapo lakini nilipoenda ulizia ada nikaacha kabisa kusoma hyo MASTERS unaweza ukapata hyo masters kazi usiwe pate ya hiyo fani ukaanza kuililia pesa yako tu
niliwai kufikilia niwe mwalimu alafu nisome master ya kitu kingine baadae hapo lakini nilipoenda ulizia ada nikaacha kabisa kusoma hyo MASTERS unaweza ukapata hyo masters kazi usiwe pate ya hiyo fani ukaanza kuililia pesa yako tu