Pole mkuu, uchofu, mambo yote yatakuwa sawa.aisee !! mimi sipo tayari kabisaa juu ya huu upuzi huyu jirani nilikuwa na muona ana akili lkn sasa naye namuona kiazii tu maana nimegundua naye ana tabia za uswahili ovyo kabisa huyu mzee.
aisee !! mimi sipo tayari kabisaa juu ya huu upuzi huyu jirani nilikuwa na muona ana akili lkn sasa naye namuona kiazii tu maana nimegundua naye ana tabia za uswahili ovyo kabisa huyu mzee.
nisiwe muongo , kusema ntampenda huyu jirani siwezi, dogo nimekaa naye nimeongea naye mbaka nimemtishia kumrudisha nyumbani , kasema ananiambia ukweli toka moyoni huyo binti hajampatia pesa.Hapana Mkuu usimchukie jirani ana haki ya kulalamika kwani laki 4 ni hela nyingi kwa kuibiwa mara moja
Simtetei ila na yeye hana haki ya kumtuhumu moja kwa moja dogo kuwa kashiriki wizi bila kuwa na uhakika
Anajipalia makaa tu kama sio kweli mdogo wako hajashiriki Basi ataeleza alikozipata hizo habari
Lakini nawe pia usiwe upande wowote bali fanya uatafiti na mdogo wako unamjua vizuri
Kukusaidia duka tu kaanza na mahusiano Sasa huyo si atakufilisi
Au Vipi muozeshe ziende halali
Huyo jirani kabila gani?nisiwe muongo , kusema ntampenda huyu jirani siwezi, dogo nimekaa naye nimeongea naye mbaka nimemtishia kumrudisha nyumbani , kasema ananiambia ukweli toka moyoni huyo binti hajampatia pesa.
binti wamempiga ili aseme amekubali , wanamuuliza pesa kaweka wapi hasemi , wamempeleka polisi binti anasema yeye alikubali ili waache kumpiga tu ila ukweli hakuna pesa alizochukua .
kingine nilichosikia , ni kuwa huyu binti aliaga na kudai ifikapo tarehe 10 anataka aende nyumbani kwa wazaz wake hivyo alikuwa anasubilia msharaha wake. Sasa hapa nimewaza sana kwmba inamaana huyu jirani kaliibua ili sekeseke ili amdhurumu huyu binti haki yake au ili ajipatie pesa kwa nyia haramu ya kusingizia kuwa binti kakabidhi pesa kwa mdogo wangu .
both ways. Sikubliani na anachokifanya huyu jirani yangu ukweli kichwa changu kinafikiria mengi sana juu ya huyu mtu.
nisiwe muongo , kusema ntampenda huyu jirani siwezi, dogo nimekaa naye nimeongea naye mbaka nimemtishia kumrudisha nyumbani , kasema ananiambia ukweli toka moyoni huyo binti hajampatia pesa.
binti wamempiga ili aseme amekubali , wanamuuliza pesa kaweka wapi hasemi , wamempeleka polisi binti anasema yeye alikubali ili waache kumpiga tu ila ukweli hakuna pesa alizochukua .
kingine nilichosikia , ni kuwa huyu binti aliaga na kudai ifikapo tarehe 10 anataka aende nyumbani kwa wazaz wake hivyo alikuwa anasubilia msharaha wake. Sasa hapa nimewaza sana kwmba inamaana huyu jirani kaliibua ili sekeseke ili amdhurumu huyu binti haki yake au ili ajipatie pesa kwa nyia haramu ya kusingizia kuwa binti kakabidhi pesa kwa mdogo wangu .
both ways. Sikubliani na anachokifanya huyu jirani yangu ukweli kichwa changu kinafikiria mengi sana juu ya huyu mtu.
Aende polisiHabari zenu wakuu , tafadhari naombeni msaada wa mawazo katika hili tatizo lilomkuta mdogo wangu.
Moja kwa moja kwenye maada . Hapa nyumbani ninapoishi ninaishi na mdogo wangu wa kiume . Lengo la kuishi naye ni ili aweze kunisaidia katika biashara yangu ya duka nililolifungua hapa nyumbani .
Sasa huyu mdogo wangu katika hii biashara ya duka imetokea ameanzisha mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi (beki tatu )wa jirani ya yangu mahusiano ambayo yalikuwa ya siri baina yao .
Sasa katika siku ya jumapili ( tarehe 3/7/. jirani yangu alinifuata na kuniambia kuwa mfanyakazi wake wa kike kamuibia kiasi cha pesa cha shilingi laki nne . Ukweli nilistaajabu na kumpa pole za dhati kabisa huyu jirani yangu na kumuuliza sasa amechukua hatua gani ?.
Akaniambia kutoka na uchunguzi aliyofanya amegundua huyo mfanyakazi wake wa kike (ambaye bado anaishi naye ) ana mahusiano ya kimapenzi na mdogo wangu. Hivyo anahisi baada ya binti huyu kuiba pesa kiasi cha tsh 400,000/= . basi amempa huyu mdogo wangu wa kiume amfichie ( ukweli nilishangaa sana ) .
Ikabidi tumuite mdogo wangu wa kiume na kuumuliza juu ya shutuma zinazomkabili , mdogo wangu kweli kajibu alikuwa ana mahusiano na huyo binti (mfanyakazi wangu ) na katika mahusiano yao mdogo wangu wa kiume ndiyo amewahi kumpa binti tsh 5000/= tu . Na siyo kinyume chake .
Sasa changamoto inakuja hapa huyu jirani yangu moja anatangaza kwa watu kuwa huyu mfanyakazi wake wa kike anayemuhisi kamuibia pesa amempa huyu mdogo wangu wa kiume amfichie , lakini pia aenda mbali zaidi na kuwaambia watu anaenda polisi kumfungulia kijana wangu wa kiume kesi ya wazi , kuwa ameshirikiana na mfanyakazi wake wa kike kumuibia kiasi tsh 400,000/= .
Sasa naombeni ushauri wanaJamiiForums mnishauri ni hatua gani za kuchukua juu ya huyu mtu maana binti wamemuuliza kataa kuwa hajaiba, wamempiga lakini pia binti kagoma pia . Sasa nifanyaje juu ya huyu kiumbe
Mambo rahisi sana kwa waswahili hao. Tafuta laki 4, mwite jirani na wahusika, kijana na beki tatu na mjumbe halafu weka fungu la hela katika kitambaa cheusi juu ya meza. Utaanza na stori kama ilivyoletwa, na utasema kuwa unailipa ila kama kuna anayefanya dhuluma hapa, litakalompata shauri yake.aisee !! mimi sipo tayari kabisaa juu ya huu upuzi huyu jirani nilikuwa na muona ana akili lkn sasa naye namuona kiazii tu maana nimegundua naye ana tabia za uswahili ovyo kabisa huyu mzee.