Lukataluko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 1,345
- 1,573
Habari za jioni wandugu? natumai mu wa zima wa afya, naomba kusaidiwa mawazo yenu, napenda nisome degree ya ustawi wa jamii kwa sasa nina diploma ya utawala katika serikali za mitaa, kwa wale wanao jua naweza soma chuo gani kinachotoa kozi hii na vigezo vyao ni vipi?
Naombeni michango yenu ya mawazo, nijue pia nikozi ipi ninayopaswa kuisoma ili niwe afisa wa ustawi wa jamii.
Natunguliza shukrani zangu za dhati.
Naombeni michango yenu ya mawazo, nijue pia nikozi ipi ninayopaswa kuisoma ili niwe afisa wa ustawi wa jamii.
Natunguliza shukrani zangu za dhati.