Kutokana na maelezo yako hapo juu unapenda biashara ila unaingia bila kufanya utafiti wala kuwa makini mradi una mtaji unaamini ndio kila kitu. Kufeli mara mbili inabidi uangalie sababu zilizokufelisha na jinsi gani utaziepuka zisijirudie.....fanya utafiti hasa wa nini ufanye kutaokana na fursa zilizopo, nini utafanya ikitokea ushindani kama ulivyotokea kwa maji ya uhai, wafanyakazi bora na jinsi ya kuwa manage. Kama kweli unadhamiria hata kuacha kazi ili ufanye biashara hebu jaribu kuwa na vision unataka kuwa nani kupitia nini (mission), na pia ubora, udhaifu na jinsi ya kulilinda wazo lako. jaribu kuwa na plan kwanza hata kama mkopo unapewa bila kuulizwa plan ila wewe andaa na kupitia hiyo utaelewa gharama na pia mapato na faida. Ngoja waje wajuzi hapa watakuelewesha
nakubaliana na wewe Mama Joe. Anapaswa azingatie huo ushauri. Pesa bila mawazo ni sawa na takataka.Kutokana na maelezo yako hapo juu unapenda biashara ila unaingia bila kufanya utafiti wala kuwa makini mradi una mtaji unaamini ndio kila kitu. Kufeli mara mbili inabidi uangalie sababu zilizokufelisha na jinsi gani utaziepuka zisijirudie.....fanya utafiti hasa wa nini ufanye kutaokana na fursa zilizopo, nini utafanya ikitokea ushindani kama ulivyotokea kwa maji ya uhai, wafanyakazi bora na jinsi ya kuwa manage. Kama kweli unadhamiria hata kuacha kazi ili ufanye biashara hebu jaribu kuwa na vision unataka kuwa nani kupitia nini (mission), na pia ubora, udhaifu na jinsi ya kulilinda wazo lako. jaribu kuwa na plan kwanza hata kama mkopo unapewa bila kuulizwa plan ila wewe andaa na kupitia hiyo utaelewa gharama na pia mapato na faida. Ngoja waje wajuzi hapa watakuelewesha
This makes sense. Pia, Iringa iko vema sana kwa kilimo cha mbogamboga (horticulture). Anunue shamba katika vijiji vya Mahenge, Mbigili au vijiji vya jirani pale chini ta Kitonga na alime vitunguu, matango, nyanya, bamia au matikiti. Hivyo vijiji vinapitiwa na mto Lukosi, kwa hiyo kilimo cha umwagiliaji ni cha uhakika sana. Kwa msimu mmoja anaweza kupata zaidi ya hiyo 10M kaka atasimamia vizuri. Ni mtazamo wangu huo, kutokana na uzoefu wa paleKama upo iringa tafuta ekari moja near town kama kule tosamaganga njia ya kwenda idodi fungua shamba la nguruwe,anza na nguruwe 50. Pia tafuta ekari 2 ulime mahindi,maboga, matangn kwa ajili ya chakula cha hao pigs. Muajiri mtu muaminifu.
This makes sense. Pia, Iringa iko vema sana kwa kilimo cha mbogamboga (horticulture). Anunue shamba katika vijiji vya Mahenge, Mbigili au vijiji vya jirani pale chini ta Kitonga na alime vitunguu, matango, nyanya, bamia au matikiti. Hivyo vijiji vinapitiwa na mto Lukosi, kwa hiyo kilimo cha umwagiliaji ni cha uhakika sana. Kwa msimu mmoja anaweza kupata zaidi ya hiyo 10M kaka atasimamia vizuri. Ni mtazamo wangu huo, kutokana na uzoefu wa pale