Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
5,213
4,328
habari zenu wakuu,? naomba kuw adi l shwa na kyaaidiwa kimawaxo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi nimekuwa mzito sana kutongoza au kuexplain hisia zamhu kwa wadada pale ninapokuwa nimependa au kutaka kuwa n gal friend sijui tatzo nin sasa jaman hii halo ibaniumiza sana na kunifanya nijihisi mpweke mda meingi kwa kuogopa kuongea na mdada,dah imefika hata kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda saba hapa chuo na ananichanganya sana kichwa changu kwanin ninetokea kumuelewa sana,nasoma nae baadhi ya coz pa1 hivi nilikuwa namwona tu ktk lecture rooms na aehrm zngne na Mara nyingi huwa anashnda peke ake a nap kuwa chuo licha ya hivo nilishindwa kuongea nae hat nikikaa nae karbu huwa naogpa sana kumwonglesha,lakin hivi karbuni nlitfuta namba yake nikapat nikamwomba tuwe marafik katka masom akasema saw lakin akasema hanifahamu ivo Jana nikaonana nae na kuongea nae kidgo tu lakin hat ivo namtumia text anajibu baadh tu zngne hajibu kam Jan jion nlimeomb tuonane hakureply asubuh nimemtumia text y kunuamsh hajareply n text zngne yupo kmya tu ivo Leo cjabahatik kuonana nae chuo.lakin hara IBO nawaz niraanzaje kunwamvia abt love and relation coz natak awe Wang,had I nawaza kwenda kwa mganga w jadi kaminawezekan akanisaidia kunip dawa itakayofanya nimpate aise naomb mnisaidie nifanyej kijan mwenzenu naumia sana kwa ajil yake?
 
habari zenu wakuu,? naomba kuwasilisha na kusaaidiwa kimawazo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi nimekuwa mzito sana kutongoza na kuexplain hisia zangu kwa wadada pale ninapokuwa nimependa au kutaka kuwa n gal friend sijui tatzo nin sasa jaman hii hali inaniumiza sana na kunifanya nijihisi mpweke mda mwingi kwa kuogopa kuongea na mdada,dah imefika hatua kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda saba hapa chuo na ananichanganya sana kichwa changu kwanin ninetokea kumuelewa sana,nasoma nae baadhi ya coz pa1 hivi nilikuwa namwona tu ktk lecture rooms na aehrm zngne na Mara nyingi huwa anashnda peke ake a nap kuwa chuo licha ya hivo nilishindwa kuongea nae hat nikikaa nae karbu huwa naogpa sana kumwonglesha,lakin hivi karbuni nlitafuta namba yake nikapat nikamwomba tuwe marafik katka masom akasema saw lakin akasema hanifahamu ivo Jana nikaonana nae na kuongea nae kidgo tu lakin hat ivo namtumia text anajibu baadh tu zngne hajibu kam Jan jion nlimwomb tuonane hakureply asubuh nimemtumia text y kunuamsh hajareply n text zngne yupo kimya tu ivo Leo cjabahatik kuonana nae chuo.lakin hata Ivo nawaz niraanzaje kubwambia abt love and relation coz natak awe Wang,hadi nawaza kwenda kwa mganga w jadi kam inawezekan akanisaidia kunip dawa itakayofanya nimpate aise naomb mnisaidie nifanyej kijan mwenzenu naumia sana kwa ajil yake?
 
Navyokuona mawazo yako na uandishi wako nadhani uko sahihi kwa solution uliyowaza- kwenda kwa mganga. Sioni namna ingine ya kukusaidia kwa haraka
Navyokuona mawazo yako na uandishi wako nadhani uko sahihi kwa solution uliyowaza- kwenda kwa mganga. Sioni namna ingine ya kukusaidia kwa haraka
Navyokuona mawazo yako na uandishi wako nadhani uko sahihi kwa solution uliyowaza- kwenda kwa mganga. Sioni namna ingine ya kukusaidia kwa haraka
lakin VP mkuu itakuwa ni njia sahih iyo kak sitopat madhar?
 
Duuu nimepata shida saana kukuelewaa hicho kiswahili ulichoandika
Btw jali masomo yako kwanza uionee uchungu wa pesa ya wazazi au mkopo ulionao umri wako bado mdogo tuliza akili kwenye masomo kwanza
 
Back
Top Bottom