Mwaka Wa Saba
Member
- May 27, 2020
- 29
- 38
Shukran sana, Mimi ni MuslimPole Sana kwa mipitio haya.Wewe ni mtu wa imani ipi kt ya Kristi na islamu?.
Shukran mkuu kwa ushauri wako, haya nayapokea yote na hili la marafiki nalichukua kwa uzito mkubwaTiba ya kwanza ni ww kujitambua...
tiba ya pili naamini kabisa una issues za kisaikolojia zaidi ..amini hilo .nenda kaa Dk atakusaidia....iambie akili yako wewe sio mgonjwa..wewe sio mzembe..na ww unaweza kila unachotaka hapa dunian..yaan uwe unaoga unalala jiambie mambo positive tu
La mwisho kama unataka kutoka hapo delete namba za marafiki wako wote au block..
Badili marafiki ....toka kwenye hiyo zone uliyopo utakaa hata mwaka hujaumwa!.
All the best
Maamuzi magumu na sahihi bila shaka atazingatiaTiba ya kwanza ni ww kujitambua.
Tiba ya pili naamini kabisa una issues za kisaikolojia zaidi ..amini hilo .nenda kaa Dk atakusaidia. Iambie akili yako wewe sio mgonjwa..wewe sio mzembe na wewe unaweza kila unachotaka hapa dunian..yaan uwe unaoga unalala jiambie mambo positive tu
La mwisho kama unataka kutoka hapo delete namba za marafiki wako wote au block.
Badili marafiki, toka kwenye hiyo zone uliyopo utakaa hata mwaka hujaumwa!
All the best
Kuna mengine nimeyaacha kweli, ila nilikuwa Private na nilipewa ruhusa ya kusafiria, pia nilienda kwa udhamini na ilikuwa ni miezi 3.Kuna magap ya informations umeyaacha:
1. Ulikuwa unafundisha government ama private?
2. Kazi uliacha ama uliachishwa?
3. Marekani ulienda kwa ufadhili ama ulijipeleka kwa pesa yako.
4. Marekani ulienda kwa kozi ya muda gani?
Unforgetable
Kwa hiyo baada ya kurudi ukakuta kibarua chako kimeota nyasi ama ilikuwakuwaje mpaka ukapoteza ajira yako?Kuna mengine nimeyaacha kweli, ila nilikuwa Private na nilipewa ruhusa ya kusafiria, pia nilienda kwa udhamini na ilikuwa ni miezi 3.
Hili usidharau mkuu, binafsi nmeprove hii ni 100%,kuna kipindi magumu yaliniandama kila aliyenijua tukikutana alikua ananielekeza kwa mganga wake japo mimi sikuwah kwenda na sitoenda mpka mauti,niliona bandiko sehemu nikaanza hiyo kuoga na chumvi ya mawe,huku naswali sana kweli Mungu alinijibu japo subra ni muhimu sana maana unaweza usione hapohapo majibu ila yapoOgea chumvi ya mawe kwa mwezi mmoja utakuwa poa, ama mkoa na usiage mtu anza mapambano upya kuna ndugu zako wanakuchezea
Ndugu yangu ufahamu kuwa suala la sisi kufikwa na Mitihani ya M'Mungu hapa Duniani ni jambo la KAWAIDA tu na la LAZIMA kwani hii ni KANUNI na UTARATIBU aliojiwekea Mwenyewe M'Mungu.Shukran sana, Mimi ni Muslim
Nimerudi ni kipindi cha Corona na nilienda kazini kabisa baada ya hapo, ila kama umesoma vizur utaona nimesema kuwa tatizo halikuwa kwenda kazini ila kushindwa kwenda kazini kwa sababu za kuumwa na kuuguliwa pia.Kwa hiyo baada ya kurudi ukakuta kibarua chako kimeota nyasi ama ilikuwakuwaje mpaka ukapoteza ajira yako?
Unforgetable
Shukran kwa ukumbusho wako, kiukweli natambua mitihani ni sehemu ya maisha yetu, kikubwa ni je nitashukuru au kukufuru? Nitasubiri au kufanya kinyume chake?Ndugu yangu ufahamu kuwa suala la sisi kufikwa na Mitihani ya M'Mungu hapa Duniani ni jambo la KAWAIDA tu na la LAZIMA kwani hii ni KANUNI na UTARATIBU aliojiwekea Mwenyewe M'Mungu.
Na hili linathibitishwa na aya nyingi tu ndani ya Quran mfano, katika Quran 2:155-54 M'Mungu anasema,"Na tutakutieni katika msukosuko (MTIHANI) wa khofu na njaa na upungufu wa mali na wa watu na wa matunda. Na wapashe habari njema wale wanaosubiri.Ambao uwapatapo msiba (MTIHANI) husema,"Hakika sisi ni wa M'Mungu, na Kwake Yeye tutarejea."
Kadhalika katika suratul Mulk (67:1-2) M'Mungu anasema, "Ametukuka Yule Ambaye mkononi Mwake kuna ufalme; Naye ni Mwenye uwezo juu ya kila kitu.Ambaye ameumba MAUTI na UHAI ili kukujaribu (yaani, kukufanyieni MTIHANI) ili aone ni nani kati yenu mwenye vitendo vizuri zaidi? Naye ni Mwenye nguvu (na) Mwenye msamaha."
Lakini pia Quran 29:2-3 M'Mungu anasema, "Je,watu wanadhani wataachwa (tu hivi hivi wasitiwe misukosuko au mitihani) kwa kuwa tu wanasema tumeamini? Ndio basi wasijaribiwe? Hapana; bila shaka Tuliwatia katika taabu wale waliokuwa kabla yao,----
Mkuu!Kama ulikuwa mbali na njia za Mwenyezi Mungu,basi jisogeze na uepuke njia zisizo mpendeza na uyafanye yenye kumpendeza Mwenyezi Mungu kwa wingi.
Kama kipato chako kimeshuka sana,basi jilinganishe na walio chini yako zaidi kwa kipato na kisha mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwa bado wewe utakuwa umewazidi wengine kwa kipato
Fanya ibada kwa dhati na usijitenge na Ayat,Surat na dua za ulinzi kila uwapo na uendako.
Endelea kufanya juhudi katika utafutaju wa ridhiki huku ukimuweka Mwenyezi Mungu mbele.
Asante.
Allah akusimamie ndugu, Inn Shaa Allah.Shukran kwa ukumbusho wako, kiukweli natambua mitihani ni sehemu ya maisha yetu, kikubwa ni je nitashukuru au kukufuru? Nitasubiri au kufanya kinyume chake?
Binafsi nimejitahidi pamoja na magumu bado naamini Mungu hajanitupa kwani hata haya mengine niliyokuwa nayo kabla ya hapo wala sikumuomba ila alinipa na nilipokuwa vizur wapo watu walikuwa na mitihani mikubwa zaid yangu. Hata sehemu niliyopiga mzinga na gari ndani ya week hiyo wakiteketea madaktar wetu na naamini wengi waliacha watoto na wake zao.
Namuomba Mungu nisikufuru ila msaada wa mawazo kama haya huleta faraja na nguvu.
Shukran sana.