Msaada wa mawazo kwa mwenye uelewa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo kwa mwenye uelewa.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Transducer, Sep 25, 2012.

 1. Transducer

  Transducer Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna rafki yangu kwenye account yake ya TCU wamemwandikia yuko admitted in "PORTUGUESE SCOLARSHIP OF MOZAMBIQUE :MEDICINE" lakini jina lake limetoka kwenye bodi ya mkopo na facult ya BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING UDOM,na jina halionekani kwa waliochaguliwa UDOM.
   
Loading...