Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 23, tatizo langu ni kuwa nilikuwa na girlfriend ambaye tumedumu nae kama miezi 8 hivi ila baada ya muda akaanza kubadilika na kudate na mtu mwingine, baada ya mimi kuona hivyo nikakaa pembeni ila huyo jamaa alieanza nae mahusiano walidumu kama miezi 2 then wakaachana akaja kunirudia tena mimi, sasa mimi nikamkubalia maana kiukweli nampenda sana, sasa jana tena kaniambia amepata mwanaume mwingine sasa yani hapa nilipo nina mawazo tele nini cha kufanya na kinachoniumiza zaidi ni jinsi ninavyompenda na siwezi kumuacha..NAOMBENI MCHANGO WA MAWAZO!!