chagga gang
Member
- Aug 21, 2021
- 62
- 34
Wapi mkuuBado tuna wala vichwa uku
Hata mimi nimeona hilo tatizo nikiingia wananiambia niweke employers details.
Sijui nani kawadanganya nimepata ajira.
Hata ukiwauliza hawajibu
Allocations hutolewa mara moja tu..kwenye account ila baada ya hapo..zinatolewa kupitia chuo.Samahani wakuu, nahitaji kuangalia allocation zetu za 2020/2021 tulizowekewa mwaka jana, zikaonyesha allocation za Miaka mitatu AMBAYO ni 2021, 2022, na 2023
Naingia kwenye system zao sizioni..
Pia jee..Kuna uwezekano wakabadili allocation walizoziweka MWANZONI??
Ahsante, karibuni kwa ushauri
dah hta me nikiingia kw account yang ndy hvyo hvyo...ngoj tuendelee kusubir nahis cc muafaka wetu utajulikana mwishoni.Hata mimi nimeona hilo tatizo nikiingia wananiambia niweke employers details.
Sijui nani kawadanganya nimepata ajira.
Hata ukiwauliza hawajibu
Sasa tutajuaje mwaka wa pili wa masomo tunapewa ada kiasi gani ili tujue tunaongeza kiasi gani.Allocations hutolewa mara moja tu..kwenye account ila baada ya hapo..zinatolewa kupitia chuo.
#MaendeleoHayanaChama
Ni hatariMwaka huu wamepataje??
Yaani so sadhaha mnaogopa msije pata kama za mwaka huu maana ni hatari
Au wamepewa Nusu!??Ni hatari
Nusu wengine robo tazama hapa chiniView attachment Tapatalk-Download941021740BATCH 1.pdfAu wamepewa Nusu!??
Mana Mimi hata sielw
Ukienda chuoni utaona hela unayotakiwa kulipa mkuu..ila allocation hazibadiliki ulizoziona mwaka jana ndizo hizo hizoSasa tutajuaje mwaka wa pili wa masomo tunapewa ada kiasi gani ili tujue tunaongeza kiasi gani.
Maana sio wote wenye mkopo 100%
ndo nataka kujua mapema mzeeUkienda chuoni utaona hela unayotakiwa kulipa mkuu..ila allocation hazibadiliki ulizoziona mwaka jana ndizo hizo hizo
Hakuna alternative Sasa labda chuoni kwako mkuundo nataka kujua mapema mzee
ili nijue natafuta kiasi gani cha kuongeza
Sasa sahivi nikiambiwa ada inatakiwa kiasi gani nitajuaje?
najua haibadiliki ila nishasahau mwaka wa pili nilikuwa napata sh ngapi.
YaahHakuna alternative Sasa labda chuoni kwako mkuu
Bado mkuuMwaka huu boom limekuaje wakuu