Msaada wa mawazo kuhusu kozi ya kusoma

Msaada wa mawazo kuhusu kozi ya kusoma

duuh jamn ko hata nikisoma clinical medicine siambulii kitu kuhus ajira
Achana na mawazo ya ajira kijana naona bado dam u changa kwa upande wa afya nakushauri usome tu.

Hata ukiajiriwa hautakosa kazi ya laki 3 au volunteer tofauti na medical record.

Game la ajira ni gumu lazima tukuambie ukweli.
 
Bado npo njia panda kati ya kusoma Clinical medicine au Business Administration diploma
 
Back
Top Bottom