Msaada wa mawazo kuhusu ICT project for final year

May 14, 2016
54
19
Msaada wa mawazo juu ya project ya ICT kwa bachelor level iwe ya web based (sanasana php-html-mysql).

Note: nahitaji mawazo au problem statement au tittle ila sio kununuaaa.. naweza kutengeneza mwenyewe ninachohitaji ni idea.

with regards.
 
Title: piracy reporting system.
Title: baby sitter information system
Title: agricultural market locator system
 
  • Thanks
Reactions: m2u
Hizo tatu alizo kupa zina kufaa statement of problems una eleze tatizo linalosumbua jumuiya mpaka ukafikiria kuamua kutengeneza hiyo system
 
Sasa ka ndo umemaliza waweza fanya kati ya yafuatayo kujipima kama kweli umeelewa.

1. Site mtu anaupload picha ya vyakula vya kitanzania alafu kwenye backend yako inafanya processing kwa AI na kusema chakuna ni labda wali nyama, na kumpa details zote mfano estimate ya protein ni kiasi flani per 100g e.t.c
- Hapa unaweza tumia tensorflow ukatrain model kwa picha mbalimbali ya vyakula then ukarudi kwenye php yako kutengeneza backend.

2. Fanya mapping ya Dar es salaam, njia zote za hayo magari ya public, map vituo mbalimbali then tengeneza ramani, mtu akiingia kwenye site mfano yupo mwenge anataka kwenda sehemu flani, unamuonyesha aende kituo flani, apande bus flani, ikifika sehemu flani afanye transfer kwenda bus linalokwenda sehemu flani hadi anafika anapohitaji kwa haraka zaidi.
- Hapa utahitaji usome graph datastructure, ujue utafanyeje mapping, ujue kila kituo utakiweka vipi, weight e.t.c alafu pia shortest path algorithms zipo kadhaa, ipi itafaa kwa situation ipi.

3. Tengeneza a real time collaborating IDE online, coder anaweza ingia online akaanza kuandika code, kunakua na syntax highlighting kabisa, alafu anakua na link akishare na mtu yeyote huyo mtu anaweza join wakafanya collaboration in realtime, yaani kila anachoandika moja na mwingine anaona wakati huohuo kama kwenye google docs vile, unaweza pendezesha na kuweka thumbnails au jina
- Hapa itakulazimu kutumia real time tools kama socket.io

4. Rahisi zaidi, real time voting system, watu wanaweza piga kura, hapa itabidi udeal sana na unazuia vipi bots, unazuia vipi same person voting multiple times, how do you secure it. Alafu inatakiwa iwe realtime, yaani watu 10 wakifungua browser zao moja akivote basi namba inapanda kwa wote bila kurefresh.
- Hapa pia itakulazimu uguse either socket.io au mqtt

Nikifikiria project nyingine simple simple ntaongeza hapa.
 
Content Management System, Blogging Platform, Document Management System, Ecommerce website. YouTube clone, Forum etc.
 
Jamaa uko nondo... Elimu yako tafadhari
 
Replied to graph
Advanced level. Mleta hatoweza kitengeneza hizo, huyo ni cms bac...
 
But it's not the best programming language angalia ranking ya programming languages php inashuka kila mwaka.
Tatizo la wabongo ni kuangalia rank tu kw mfno ww. Hv mtu anataka kutengeneza registration system ambapo php inaweza na python inaweza sasa kwann nichague pythno wkt php ipo

Wabongo tunapenda kukalili sijui instagram imetengezwa na python bac na mimi nitengeneze python. Hahahahhahahahah.

Sijasema mtu asitumie language nyingine but achague anayotaka.

Kuna maproject makubwa huko kama facebook ndo unaweza chagua lugha kwa sababu ya mapungufu la lugha nyingine.

I am out.
 
Siyo hivyo mkuu wewe kuelewa python ni multi purpose language ambayo unaweza fanya mambo ya machine learning na statistics easily at the same ni programming languages. So learning curve yake pia ni ndogo ni uamuzi wako kufanya unachotaka kufanya kwa language ipi? Ila kama unataka kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja php haiwezekani au Itabidi uandike code ndefu kwa mfano kuchora histogram kwenye python is easy na php utaandika code lukuki. Hakuna mtu anaye claim hapa
 
Huko chuoni mnasomaga php tu??
Nashukuru kwa swali. Tunasoma java, php, na c. Mimi nataka kutengeneza system ambayo kila mtu ataweza kui_ access popote pasipo uhitaji wa kudownload chochote.(web based with no prog download, just the browser ) nimeona php inanifaa. Kingine kwenye taaluma ya programming huwezi kujua lugha zote. Mimi naiweza zaidi php.
 
Sasa ka ndo umemaliza waweza fanya kati ya yafuatayo kujipima kama kweli umeelewa.

1. Site mtu anaupload picha ya vyakula vya kitanzania alafu kwenye backend yako inafanya processing kwa AI na kusema chakuna ni labda wali nyama, na kumpa details zote mfano estimate ya protein ni kiasi flani per 100g e.t.c
- Hapa unaweza tumia tensorflow ukatrain model kwa picha mbalimbali ya vyakula then ukarudi kwenye php yako kutengeneza backend.

2. Fanya mapping ya Dar es salaam, njia zote za hayo magari ya public, map vituo mbalimbali then tengeneza ramani, mtu akiingia kwenye site mfano yupo mwenge anataka kwenda sehemu flani, unamuonyesha aende kituo flani, apande bus flani, ikifika sehemu flani afanye transfer kwenda bus linalokwenda sehemu flani hadi anafika anapohitaji kwa haraka zaidi.
- Hapa utahitaji usome graph datastructure, ujue utafanyeje mapping, ujue kila kituo utakiweka vipi, weight e.t.c alafu pia shortest path algorithms zipo kadhaa, ipi itafaa kwa situation ipi.

3. Tengeneza a real time collaborating IDE online, coder anaweza ingia online akaanza kuandika code, kunakua na syntax highlighting kabisa, alafu anakua na link akishare na mtu yeyote huyo mtu anaweza join wakafanya collaboration in realtime, yaani kila anachoandika moja na mwingine anaona wakati huohuo kama kwenye google docs vile, unaweza pendezesha na kuweka thumbnails au jina
- Hapa itakulazimu kutumia real time tools kama socket.io

4. Rahisi zaidi, real time voting system, watu wanaweza piga kura, hapa itabidi udeal sana na unazuia vipi bots, unazuia vipi same person voting multiple times, how do you secure it. Alafu inatakiwa iwe realtime, yaani watu 10 wakifungua browser zao moja akivote basi namba inapanda kwa wote bila kurefresh.
- Hapa pia itakulazimu uguse either socket.io au mqtt

Nikifikiria project nyingine simple simple ntaongeza hapa.
NONDO HIZI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom